Kwanza kabisa niweke wazi kwamba tuhuma bila ushahidi ni uzushi .bil 100 ni nyingi sana .
Pili hizi pesa ambazo TL amedai zilikutwa nyumbani kwa hayati magufuli ni nyingi sana ,ni pesa ambazo huwezi ficha kwenye begi ni fedha za kuweka kwenye chumba .
Je hayati Magufuli huko Chato alikuwa anaishi peke yake ?
Je hayati alikuwa mtuhumiwa mpaka watu wakapekue kwake ?
Je TL anadanganya umma
Kwamba afe muda wote na pesa ziwepo tu zimekaa. Hivi anaijua billioni 100 huyo?Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Ulitakiwa uwe ulishatiwa Kitanzi umekunya kabisaView attachment 2709511
View attachment 2709509
Wewe kila siku huwa nakwambia ni zwazwa moja linalotetea na kusifia ujinga.
Ni mtu wa kuja hapa na kusifia watu wanaoharibu mashirika ya umma na kutumia nguvu bila ya kuelewa unasifia nini.
Hiyo faida ya billion 109 hipo wapi hapo. Angalia other income ni kiasi gani kwenye kutengeneza hiyo faida; halafu soma note 11 uangalie what constitute other income 80% sio liquidity ambayo utaikuta bank.
Sasa kama unaweza ongopewa wazi hivyo, kwanini nishangae wewoe kukubali hadithi za mitandaoni. Ni mtu mmoja wa hovyo kazi yako kusifia na kutukana watu tu kwenye hili jukwaa, huku mods wakikuchekea.
Nyie ndio watu mlioharibu uraisi wa Samia kwa kumuongepea na maujinga yenu.
2486.46×42m. Bear in mind alikuwa prezo.Kama ni kweli,hizo ni bilioni ngapi kwa shilling ya Tanzania!?
Bilioni 98+ ni ndogo!?Pesa ndogo sana kulinga na muda wake kwenye serkal. Billion yes .... Milion no ni ndogo
2486.46×42m. Bear in mind alikuwa prezo.
Kwamba afe muda wote na pesa ziwepo tu zimekaa. Hivi anaijua billioni 100 huyo?
Utaelewa tu. Serikali ina mkono mrefuZilkutwa na nani ?
Nani alikuwa na mamlaka ya kuiingia ku sachi nyumba ya Mama Janet akaona hela ? Kwa hili simuelewi Lissu.
Kosa moja halihalalishi mengine.CCM team Samia wajanja sana wanavunja ngome ya CHATO kwa kuitumia CHADEMA then baadae wakishawaaminisha kwamba bwana yule alikuwa fisadi basi itakuwa rahisi sana wao kumalizia tu.
Lisu yeye chochote anachosikia juu ya Magufuli anaropoka! Mazwazwa nao wanalala nae mbele kushangilia!Labda alivyoenda yeye ndio amefanya utafiti kazikuta..mbona hakutueleza kwenye ile mikutano waliyokuja na kauli mbiu ya kumchana magu wakakosa watu wakaachana kabla ya kurudi na DP world.
Chai ya rangi isiyo na mdalasini.Hiyo bilion 100 Hata Diamond wa Wasafi anayo
Samia alivyotaka kumchafua Magufuli tokea mwanzo wa utawala wake ashindwe kulisema hata kama sio yeye machawa wake akina Nape washinde kumwandika hata tweeter au kumzodoa Bashiru au Pole pole kwa jinsi alivyowasumbua mpaka kumpa ubalozi!Utaelewa tu. Serikali ina mkono mrefu
Kwani uongo?View attachment 2709505
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania The Late, John Magufuli baada ya Kufariki kiasi Cha Dolla za Kimarekani milioni 42 (zaidi ya Sh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais, Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mstuko nilioupata.