Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Unga tena? Kwani hawa watu c walikua wazalendo kweri kweri?hizo tunatakiwa tuzitaifishe. na Bashite naye nadhani anazo nyingi zaidi ya hizo kwenye zile mishe zake za "unga"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unga tena? Kwani hawa watu c walikua wazalendo kweri kweri?hizo tunatakiwa tuzitaifishe. na Bashite naye nadhani anazo nyingi zaidi ya hizo kwenye zile mishe zake za "unga"
Mi mbona kama naelewa tofauti?Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Kama kitu hujui ni kheri kukaa kimyaKiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
wezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Ushamuacha kolomije mzee wa watu 🤣🤣🤣Sedition is about when a person's speech, behaviour, language, written words attracts the group of people or a mob acts rebellion against authority of state or create incitement to public disorder or violence.
I am sure that statement from Lisu does not qualify to be called sedition
Duh!Hiyo bilion 100 Hata Diamond wa Wasafi anayo ndio ushangae kwa kidume Shujaa Magufuli Waziri miaka 20 Rais miaka 6?
Bavicha mnawaza kimaskini Sana😂😂
Hatari mkuu, hii kitu niliisikia muda kidogo ilikuwa siri ila naona imevuja baada ya team mama kushambuliwa sana na team baba. Naona sasa tunaelekea kusema kama mbwahi, mbwahi mghoshi!Kama kitu hujui ni kheri kukaa kimya
Na asilimia 100 hujui
Itakuwa waliozikutaZilikutwa na nani?
Hii hesabu rahisi kabisa unaikoseaje mkuuDola 42m ni zaidi ya bilioni 9,Dola milionii moja ni sawa na bilioni 2.5
Mkuu wewe huwa ni mtu unayejinasibu kama mtu with "an ear to the ground".Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Upo sahihiHatari mkuu, hii kitu niliisikia muda kidogo ilikuwa siri ila naona imevuja baada ya team mama kushambuliwa sana na team baba. Naona sasa tunaelekea kusema kama mbwahi, mbwahi mghoshi!
UWT walipekua huko chumba cha siri cha Magufuli baada ya mke wake kutoa taarifa ya hicho chumba cha siri.Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
...
Huyu anacheza na akili za watu wanaoacha kazi zao na kumsikiliza.View attachment 2709505
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023
Hata mimi nashangaa😂... Issue ni Bandari na Katiba. Haya mengine ya nini
Labda mfalme wa ukoo wakoLissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Yes ...sio habari mpya hiiMwandishi Luqman Maloto alishawahi kuandika kuhusu hii ishu ila hakutaja kiasi.