Tundu Lissu ana historia ya kusema uongo.
Alishawahi kudai kuwa huyu mlinzi wa Magufuli naye alikufa kwa COVID-19. Alidai hivyo akiwa anahojiwa Voice of America
View attachment 2709590
View attachment 2709599
Video hii hapa. Anzia dakika ya 21:14 - 21:40.
Kwenye video anatoa kabisa na maelezo ya muonekano wa jamaa alivyo, rangi yake, na anaweka wazi kabisa kuwa siyo yule mpambe wa kijeshi. Ni yule mlinzi.
Huyu mlinzi wa Magufuli hakuwa amekufa wakati Tundu Lissu anatoa madai yake hapo VOA.
Jamaa alikuwepo mpaka kwenye mazishi Chato.
View attachment 2709603
Kauli za Tundu Lissu siyo za kuaminiwa mazima, hususan ikija kwenye mambo yamhusuyo Magufuli, which is understandable.
Lissu is severely jaundiced when it comes to Magufuli. And I’m not saying this to defend Magufuli. I’m just giving my objective observations here.
I know our judicial system is a shit show. But I’d still love to see someone drag Lissu to court and sue him for this so at least we can see what kind of evidence he has about his allegations.
I’m not saying it can’t happen but I find it hard to believe that Magufuli would stash $42 million in his house only to be found out after he died.
Nani alizihesabu hizo hela? Nani aliziona hizo hela?
Na aliingiaje nyumbani kwa Magufuli? Aligonga hodi mlangoni na wao wakamfungulia tu na akaingia akaanza kuzihesabu?
Dola milioni 42 ni nyingi bana.
Tundu Lissu ni lazima atoe ushahidi zaidi ya hayo maneno yake.