Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Dah!....96 billion cash ziwepo nyumbani? hapo ni parefu sana mkuu...Hizo hesabu za wapi. Hio hela ukiigeuza unapata around 96 billions za kibongo. Kwa nafasi na wizara alizokuwa ametumikia ni wazi kuwa lazma angestaafu na mipunga ya kutosha. Huwezi kuwa wizara ya ujenzi halafu ukose kumiliki hizo.