Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Kama Lissu ni muongo, wamshitaki kwa uongo kesi iende mahakamani aoneshe ushahidi wake.

Watawala wasipomshitaki, wamekubali Lissu anasema kweli na wameogopa atatoa ushahidi zaidi ikiwa kesi itafuka mahakamani.
Mbona hii taarifa wala sio ngeni ?
Nafikiri kuna waandishi Kati ya Maloto au Ansbert Ngurumo walishawahi kuripoti...hii taarifa....

Nashangaa wanaostuka kama mpya
Na nashangaa na wanachadema nao wanamuona Lissu kama kapotoshwa. ...
 
Kupekuliwa nyumban kwa Magufuli mi sioni ni hoja, madam hakuwa Tena rais lazima security wafanye clearance mambo ya nchi yasije fika mikono isiyo salama
Wewe unaamini kabisa habari hizo zingefichika na kutozungumzwa na watu na Samia mwenyewe alivyotaka kumuonesha kwamba Magufuli hakiwa mtu mzuri!
Kwanza propaganda zilianzaga Bashiru kaiba fedha mara blahblah kibao ushahidi zero!
 
Samia alivyotaka kumchafua Magufuli tokea mwanzo wa utawala wake ashindwe kulisema hata kama sio yeye machawa wake akina Nape washinde kumwandika hata tweeter au kumzodoa Bashiru au Pole pole kwa jinsi alivyowasumbua mpaka kumpa ubalozi!
Samia yupo CCM na magufuli yupo CCM usijidanganye hawapo pamoja.
 
Mbona hii taarifa wala sio ngeni ?
Nafikiri kuna waandishi Kati ya Maloto au Ansbert Ngurumo walishawahi kuripoti...hii taarifa....

Nashangaa wanaostuka kama mpya
Na nashangaa na wanachadema nao wanamuona Lissu kama kapotoshwa. ...
Hela ndogo Sana hiyo kuwa nayo Rais wa Nchi

Hizo ni bajeti za kawaida kabisa za Akina Kakobe, Mwingira, Geodevie nk 😂😂🔥
 
Hiyo ndogo Sana haisajili mchezaji wa maana La Liga wala Premier 😄😄
Ni ndogo kwenye mambo makubwa ila kwa magu obvious ni ndogo ila wasanii wa afrika the greatest wenyewe hawana hiyo hela.

Wachezaji mpira wa euro sawa
 
Ni ndogo kwenye mambo makubwa ila kwa magu obvious ni ndogo ila wasanii wa afrika the greatest wenyewe hawana hiyo hela.

Wachezaji mpira wa euro sawa
Usimchukulie poa Mondi Ujue anamlipa Kitenge mshahara milioni 25 kwa mwezi, Zembwela anavuta 12 mil per month 😂😂🔥
 
Kama Lissu ni muongo, wamshitaki kwa uongo kesi iende mahakamani aoneshe ushahidi wake.

Watawala wasipomshitaki, wamekubali Lissu anasema kweli na wameogopa atatoa ushahidi zaidi ikiwa kesi itafuka mahakamani.
Amshtaki nani mtu anatuhumu marehemu asiyeweza kujitetea

Anajua anaohutubia wajinga wasiojua kuwa marehemu hawezi fungua kesi

Anawapa hotuba hewa waone kama shujaa kumsema marehemu

Marehemu aweza.mzushia chochote anajua hakuna w kumpeleka mahakama ni

Lisu ana siasa za kitapeli sana Atuhumu mtu aliye hai sasa kama mbabe aone mziki wake mahakamani. Aatuhumu maiti .Katika matapeli wa siasa Tanzania Lissu namba moja
 
Wamshitaki familia, kwani marehemu hana familia?

Wamshitaki CCM, kwani CCM washamsahau Mwenyekiti wao aliyefariki?

Wamshitaki serikali, kwani serikali inakubali rais alikwiba hizo hela?

Wamshitaki wafuasi wa Magufuli, kwani wao wanakubali kiongozi wao kuchafuliwa hivyo?
 
Hii mamb ilisikika sana kipindi kile, sasa sijui uhakika wa hili jambo, ingawa lisemwalo lipo!!

Kama ni kwel je hazina ilihamia home? Ukizingatia cc tulikua wazalendo kweri kweri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…