Dah!....96 billion cash ziwepo nyumbani? hapo ni parefu sana mkuu...Hizo hesabu za wapi. Hio hela ukiigeuza unapata around 96 billions za kibongo. Kwa nafasi na wizara alizokuwa ametumikia ni wazi kuwa lazma angestaafu na mipunga ya kutosha. Huwezi kuwa wizara ya ujenzi halafu ukose kumiliki hizo.
LISSU hupewa taarifa nyingi sana za serikali na watu walioko serikalini, juzi aliongelea suala la Kinana aliposema Chadema hawana shukrani wanamtukana mama wakati kawapa ruzuku yao yote,Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary ...
Hiyo search ilifanywa na nani kwa amri ya nani?View attachment 2709505
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti...
Kwa kipindi alichokuwa waziri wa ujenzi si alipiga hela freshi tu. Unafikiri kujenga madaraja na malami nchini unakula genji kiasi gani.Dah!....96 billion cash ziwepo nyumbani? hapo ni parefu sana mkuu...
Nani aliingia kufanya upekuzi na kuzihesabu hizo pesa ambazo ni sawa na milioni 9000+?
Tumia vizuri akili zako!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jifunze kusikiliza hata usiyoyapenda.Huyu atatukoroga. Ni kama anakosa agenda. Issue ni Bandari na Katiba. Haya mengine ya nini
Inawezekana mkuu, ila zote hizo 'cash' ziwe nyumbani inaingia akilini kweli ?Kwa kipindi alichokuwa waziri wa ujenzi si alipiga hela freshi tu. Unafikiri kujenga madaraja na malami nchini unakula genji kiasi gani.
Sana. Kama yule msukuma mkurugenzi mwenza wa mayanga construction waliojenga Chato International Airport atakua bilionea hivi sasa.Kifo cha JPM, itakua baadhi ya watu walipiga sana pesa.
Mkuu hii sio habari mpya. Alianza kuongelea mwandishi Luqman Maloto ila hakutaja kiasi cha pesa.Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary ...
So the man do confusing them. Huenda ana fanya codingLISSU hupewa taarifa nyingi sana za serikali na watu walioko serikalini, juzi aliongelea suala la Kinana aliposema Chadema hawana shukrani wanamtukana mama wakati kawapa ruzuku yao yote, LISSU alisema Kinana aliwaambia Chadema pembeni kuwa ruzuku yenu Chadema ni ndogo mlistahili kubwa Ila tuliwaibia kura mkabaki na ruzuku ndogo. Hata hili la pesa yawezekana taarifa kapewa na hao walioko serikalini.
Labda tunadhani nyumba anayokaa raisi ata kama yake binafsi ni sawa hizo zenu...
Wewe ndio unaelewa madhara ya kupakuliwa, mimi nani nikubishie madhara yake mradi mwenyewe unasema.Mkuu ushoga ni ugonjwa wa akili.
Siyo ajabu .mlanguzi wa cocaine Pablo escobar miaka ya 90 huko aliwahi kukaa ndani na zaidi ya dola za kimarekani bilioni 2 na ushee.Dah!....96 billion cash ziwepo nyumbani? hapo ni parefu sana mkuu...