Mada hii itakuwa na uhai au sifa stahili kufanyiwa kazi ktk akili endapo maswali haya uliyouliza yatajibiwa.vinginevyo ni uzushi kama uzushi mwingine tu.Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua...
Magufuli alikuwa anafanya biashara gani nahiyo bilioni 98 hapo nyumbani kwake?Hela ndogo sana hiyo
Nyumba yoyote anayokwenda raisi iwe yake binafsi au ya serikali; walinzi wake lazima waikague kila chumba kuhakikisha ipo secure.Magufuli alikuwa akiishi ktk nyumba za serikali Dsalaam na Dodoma.
Maeneo hayo mawili ndipo kuna uwezekano fedha hizo zilipatikana na huenda zilipatikana wakati wa kuhamisha familia yake, ili kutoa nafasi kwa familia ya Raisi mpya.
Hiyo sio issue. Kasri kutunza hiyo ni kitu kidogo sanaInawezekana mkuu, ila zote hizo 'cash' ziwe nyumbani inaingia akilini kweli ?
Umejuaje ana amani. Umejuaje amepumzika wakati dunia inajua alilkufa.Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo....
Yule jamaa alikua na ndoto ya kuifanya chato kitovu cha utalii Tanzania [emoji1241]Kwani JPM alikuwa na royal tour yake?
Tundu Lissu ana historia ya kusema uongo.Kama Lissu ni muongo, wamshitaki kwa uongo kesi iende mahakamani aoneshe ushahidi wake.
Watawala wasipomshitaki, wamekubali Lissu anasema kweli na wameogopa atatoa ushahidi zaidi ikiwa kesi itafuka mahakamani.
Nadhani wengi walimwamini sana Jpm kumbe naye alikua mlaji mbinafsiLissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Hii inajulikana kwani Janeth aliamua kua mzalendo hakutaka kufichaLissu ameanza kupotea njia...atuletee jinsi ya kupambana na hawa walio hai wanaolihujumu taifa.
Marehemu hajitetei.
Nasema hivi, mfungulieni kesi mahakamani mjue mbivu mbichi.Tundu Lissu ana historia ya kusema uongo.
Alishawahi kudai kuwa huyu mlinzi wa Magufuli naye alikufa kwa COVID-19. Alidai hivyo akiwa anahojiwa Voice of America
View attachment 2709590
View attachment 2709599
Video hii hapa. Anzia dakika ya 21:14 - 21:40.
Kwenye video anatoa kabisa na maelezo ya muonekano wa jamaa alivyo, rangi yake, na anaweka wazi kabisa kuwa siyo yule mpambe wa kijeshi. Ni yule mlinzi.
Huyu mlinzi wa Magufuli hakuwa amekufa wakati Tundu Lissu anatoa madai yake hapo VOA.
Jamaa alikuwepo mpaka kwenye mazishi Chato.
View attachment 2709603
Kauli za Tundu Lissu siyo za kuaminiwa mazima, hususan ikija kwenye mambo yamhusuyo Magufuli, which is understandable.
Lissu is severely jaundiced when it comes to Magufuli. And I’m not saying this to defend Magufuli. I’m just giving my objective observations here.
I know our judicial system is a shit show. But I’d still love to see someone drag Lissu to court and sue him for this so at least we can see what kind of evidence he has about his allegations.
I’m not saying it can’t happen but I find it hard to believe that Magufuli would stash $42 million in his house only to be found out after he died.
Nani alizihesabu hizo hela? Nani aliziona hizo hela?
Na aliingiaje nyumbani kwa Magufuli? Aligonga hodi mlangoni na wao wakamfungulia tu na akaingia akaanza kuzihesabu?
Dola milioni 42 ni nyingi bana.
Tundu Lissu ni lazima atoe ushahidi zaidi ya hayo maneno yake.
Nyumba yoyote anayokwenda raisi iwe yake binafsi au ya serikali; walinzi wake lazima waikague kila chumba kuhakikisha ipo secure.
Sasa hizo hela alikuwa anazificha wapi, anapokuwa akienda huko. Tena wanaenda kabla yeye mwenyewe ajafika, $42m sio hela unazoweza zificha zisionekane.
Porojo tu, raisi ata anapoenda ata nje ya nchi kuna watu wanatangulia kukagua anapofikia siku kadhaa kabla ya yeye kufika.
LISSU ana taarifa nyingi sana za uhakika anazopewa na walioko serikalini wasiopenda yafanywayo na viongozi wa serikali.So the man do confusing them. Huenda ana fanya coding
Tutake kutafuta ukweli kwa kutumia mantiki badala kubishana na Lisu hovyo hovyo.Inashangaza, ukiangalia familia ya JPM ipo simple sana, hawababaiki na vyeo, teuzi, madaraka, pesa.
Watuwekee ushahidi anamiliki nyumba ngapi Tanzania, biashara ngapi Tanzania? Wapinzani wake wote wapo serikalini sasa haya tuwekeeni account zake mpeni Lissu aseme. Mfanye hivyo hivyo kwa Kikwete, Mwinyi, Samia, Mkapa na Nyerere.
Mfungulieni kesi mahakamani?Nasema hivi, mfungulieni kesi mahakamani mjue mbivu mbichi.
Kama muongo, waongo wapate funzo. Kama mkweli, tujue ukweli kwa ushahidi utakaopitiwa na mahakama na kufanyiwa uchambuzi wa kisheria.
Vinginevyo, mmekubali tuhuma.
Mtu kuwa na historia ya kusema uongo, if that is indeed the case, haimaanishi kila atakachokisema kitakuwa uongo.
After all, even a broken clock can be right twice a day.
Investigate every case on its own, do not deflect an issue with ad hominem logical fallacy.
There us such a thing as "the problemnof induction"
Magufuli alikuwa anafanya biashara gani nahiyo bilioni 98 hapo nyumbani kwake?
- Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniNani kakuambia ya kuwa Late president Yuko Mbinguni?
Kwa nini hujali kama Magufuli alikuwa na hizo hela ama la?Mfungulieni kesi mahakamani?
Mimi sihusiki na chochote. Naona hujaelewa vizuri nilichoandika.
Nimesema hivi, Lissu ana historia ya kusema uongo. Hivyo, mimi binafsi nahitaji zaidi ya hayo maneno yake maana alishawahi kudanganya waziwazi [iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya] kwenye kituo cha habari cha kimataifa.
Nimesema pia ningependa kuona anaburuzwa mahakamani ili tuweze kuona ana ushahidi gani wa hayo madai yake.
Mimi binafsi sijali kama Magufuli alikuwa na hayo mahela nyumbani kwake au la.
Acha kukurupukaHii hesabu rahisi kabisa unaikoseaje mkuu
Kwa nini hujali kama Magufuli alikuwa na hizo hela ama la?