Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

..nimesema uwezekano fedha hizo zilionekana wakati wa zoezi la kuhamisha familia ya Magufuli toka ktk makazi ya Raisi.
Labda ziwe planted wakati wa msiba, It doesn’t make hizo siku zingine kwanini walikuwa hawazioni.

Tena akiwa hai wanafanya thorough check nyumba nzima, akifa sidhani kama wanashida ya kuingia vyumba vyote.

Kama upo nje ya nchi ongea na viherehere wanaokwendaga kuongea na maraisi, wakwambie ata akitoka nje ya nchi chumba chake cha hotel week mbili kabla kuna watu wanaenda kukikagua na kuki-secure, anakwenda na wasaidizi wake wote mpaka mpishi wake.

Unadhani raisi aliyepo madarakani anaweza ficha kitu nyumbani kwake usalama usijue; hiyo nyumba inapigwa scan way before raisi ajafika ata kama yake binafsi.
 

..yale mabulungutu tuliyokuwa tunamuona akigawa wakati wa safari zake yalikwenda wapi? Alikuwa akiyahifadhi wapi wakati akiwa hai? Nani aliyachukua baada ya kifo chake?
 
Kwamba Tundu Antipas Lisu anatuambia baada ya kufa Nyumba ya Shujaa Magufuli ikasachiwa na fedha hizo zikakutwa?

Kwanini alisachiwa kama ndivyo?

Tundu Antipas Lisu ana habari gani kwa Watanzania ambazo hawazijui? Tamaduni za misiba ya kitanzania zinajulikana mambo ya kusachiana hayapo

Niishie hapo

Mlale Unono 😀
 
Hii haisaidii chochote Magufuri alishakufa sasa kuendelea kumsema marehemu ili Hali Kuna mambo mengi ya kuongelewa yanayohusu maisha na maendeleo ya wananchi sidhani kama ni sahihi.
 
Hizo pesa ninaweza kula Mimi na familia yangu yote mpaka tunakufa bila kufanya kazi yeyote ....
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Angekuwa mfalme wa kanda ya ziwa angepora uchaguzi? Jitahidi kuvumilia ukweli.
 
Hii haisaidii chochote Magufuri alishakufa sasa kuendelea kumsema marehemu ili Hali Kuna mambo mengi ya kuongelewa yanayohusu maisha na maendeleo ya wananchi sidhani kama ni sahihi.
..kuna WAHUNI walioshirikiana na Magufuli hao wanatakiwa washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Kwa sababu nchi imejaa viongozi wapumbavu wanaoongoza idadi kubwa ya watu walio wapumbavu.
But that is a logical fallacy, a logical non sequitur.

Nchi kujaa viongozi wapumbavu wanaoongoza idadi kubwa ya wati walio wapumbavu hakutakiwi kukufanya usijali kama mamilioni ya dola yameibiwa au hayajaibiwa.

In fact, katika nchi iliyojaa viongozi wapumbavu na wananchi wapumbavu ndiyo unatakiwa ujali zaidi, kwa sababu upumbavu mwingi unaweza kufunika ukweli watu wasijue, na matokeo yake upumbavu ukazidi.

Nchi ingekuwa imejaa ma think tank ya policy wonks na technocrats labda kidogo ungeweza kusema hujali, kwa sababu wapo vipanga wengi watasawazisha habari.

You are doing the total opposite of what is logical.

Do you even care at all about this country?
 
Aliyeua wavuvi zaidi ya 60 kwenye kisiwa cha Rubondo aliuwa chama gani ?
 
Fine. It’s a personal choice of mine.

Kama wewe unajali, sawa. Huo ni uamuzi wako.

Uamuzi wangu ni kutokujali.
 
Where/ what is the ad hominem logical fallacy in what I wrote?
Umeandika "Tundu Lissu ana historia ya kusema uongo".

Una attack character ya Tundu Lissu badala ya kuchambua kesi aliyoleta, that is the textbook definition of ad hominem attack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…