Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Rais anaweka hela kwenye magunia ! na zile za Benki nazo tukutajie au tuache tu ?Pesa ndogo sana kulinga na muda wake kwenye serkal. Billion yes .... Milion no ni ndogo
2486.46×42m. Bear in mind alikuwa prezo.
Alikuwa akigawa dollars? Si shillings tu, tena alikuwa wala hazishiki yeye wasaidizi wake. Hela zao za matumizi kwenye ziara...yale mabulungutu tuliyokuwa tunamuona akigawa wakati wa safari zake yalikwenda wapi? Alikuwa akiyahifadhi wapi wakati akiwa hai? Nani aliyachukua baada ya kifo chake?
Lakini hata kutokujali nako hujafanya sawaswa, unafanya kutokujali kunakojali.Fine. It’s a personal choice of mine.
Kama wewe unajali, sawa. Huo ni uamuzi wako.
Uamuzi wangu ni kutokujali.
Al marhum,,,,umenikonga moyo[emoji120][emoji120][emoji120]Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Nilisema hili humu nikatukanwa tena zilikua zimewekwa kwenye majaba na viroba mwendazake bhana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2709505
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania The Late, John Magufuli baada ya Kufariki kiasi Cha Dolla za Kimarekani milioni 42 (zaidi ya Sh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais, Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mstuko nilioupata.
🤣🤣🤣Hizi hizi walikuwa wakimaliza kuzikusanya zinapakiwa kwenye bombadia zinapelekwa chatooo
Wapi hujaelewa ?Kwamba Tundu Antipas Lisu anatuambia baada ya kufa Nyumba ya Shujaa Magufuli ikasachiwa na fedha hizo zikakutwa?
Kwanini alisachiwa kama ndivyo?
Tundu Antipas Lisu ana habari gani kwa Watanzania ambazo hawazijui? Tamaduni za misiba ya kitanzania zinajulikana mambo ya kusachiana hayapo
Niishie hapo
Mlale Unono [emoji3]
🤣🤣Sasa mbona aliwah tuna tisii wakaenda kumvamia kakobe kanisan navkubeba sadaka zilizokuwa kwenye mahaba?Nilisema hili humu nikatukanwa tena zilikua zimewekwa kwenye majaba na viroba mwendazake bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Itawezekana ila si Chadema. Never kila ukipumua.Siku upinzani ukichukua nchi maovu mengi yataanikwa
Unajua JPM alitaka viongozi imara, kulinganisha na huyu mama ni mbingu na ardhi.Wewe unaamini kabisa habari hizo zingefichika na kutozungumzwa na watu na Samia mwenyewe alivyotaka kumuonesha kwamba Magufuli hakiwa mtu mzuri!
Kwanza propaganda zilianzaga Bashiru kaiba fedha mara blahblah kibao ushahidi zero!
Wewe umewahi hata kumiliki 500M yako peke yako? Kuwa mkweli.Pesa ndogo sana hii.
Hizi ni shilingi za Kitanzania.
Kabisa ndugu, anayepingana na hoja ya Lissu na atangulie Mahakamani ili akapatiwe ushahidi huko. Kwa bahati nzuri Mahakama zimewekwa mfukoni na maccm, kwahivi hakuna kitakachofichwaKama Lissu ni muongo, wamshitaki kwa uongo kesi iende mahakamani aoneshe ushahidi wake.
Watawala wasipomshitaki, wamekubali Lissu anasema kweli na wameogopa atatoa ushahidi zaidi ikiwa kesi itafuka mahakamani.
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Nililisema hili humu nikatukanwa haya muko wapi mloniita Muongo??View attachment 2709505
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania The Late, John Magufuli baada ya Kufariki kiasi Cha Dolla za Kimarekani milioni 42 (zaidi ya Sh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais, Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mstuko nilioupata.
Sasa mtu anamaamuzi ya chochote saa yoyote juu ya nchi hata ingekuwa TrillionBilioni 98+ ni ndogo!?
Aaah kijana hebu achia watu watumbue pesa bhana. Mbona una nongwa kijana!Kama Lissu ni muongo, wamshitaki kwa uongo kesi iende mahakamani aoneshe ushahidi wake.
Watawala wasipomshitaki, wamekubali Lissu anasema kweli na wameogopa atatoa ushahidi zaidi ikiwa kesi itafuka mahakamani.
Kusema ukweli kuhusu mtu ndo kum attack character yake?Umeandika "Tundu Lissu ana historia ya kusema uongo".
Una attack character ya Tundu Lissu badala ya kuchambua kesi aliyoleta, that is the textbook definition of ad hominem attack.
That’s only because I have time to waste today. Otherwise I wouldn’t even bother.Lakini hata kutokujali nako hujafanya sawaswa, unafanya kutokujali kunakojali.
Kwa sababu umetumia muda wako na nishati kujadili hili suala.
Wasiojali kweli ni wale wanaoangalia tu na kusema "aah, ona Matanzania haya yanabishana ujinga wao" halafu mtu anasepa bila hata kugonga like post moja 😀 😀 😀