Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi ujanijibu bado Kwahiyo now umemuona lissu baado ana akili kkubwa? Na hakuna mtu mwingine mwenyewe ako na akili kama kama lisu?Ajabu sana, maswali yangu niliyouliza yanayohusu mada iliyoko mezani unayaita ya kitoto, huku wewe uliyeuliza maswali yaliyopo nje ya mada kuhusu kifo cha Magufuli ndio unajiona mjanja, Ok.
Mkuu P.......... Mimi nafikiri kwa vile huyu ni mwanasheria na anafaham kuwa atatakiwa kutoa ushahidi, let us wait for police offficers kufanya kazi yao wakishirikiana na TAKUKURU kulifuatilia hili ili kujua baada ya hapo pesa zilipelekwa wapi.Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Project gani? Hizo project si ndo unasema za fisadi Magufuli sasa aliwezaje kuzijenga?Mama anaupiga mwingi,kazi inaendelea tunaona kila project ikisonga mbele kwa kasi KUBWA ya KUSHANGAZA.
uliziona au wewe ndio ulienda kupekua na baada ya kupekuwa ukazikuta na ukatoa taatifa na ziko wapi sasa hizo ela mpaka mda huu ?Mnyonge anayeficha 10bln nyimbani kwake
Ubora upo wapi?Si afadhali yeye zimekutikana chato,Bado ziko zinazunguka kwa watanzania.Je? Zilizotoroshwa kwa wajomba na kwingineko nchi za nje kipi Bora?
Siwezi kuwa na wivu na walafi na majambazi...Upuuzi mtupuPunguza wivu kidogo
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Fisadi awamu ya tano aliiacha miradi mingi ikiwa chini ya 15% kufikia kumalizika, mama anamalizia 85% ya ukamilishaji miradi zaidi ya 4-5 mikubwa,(Giant projects)Project gani? Hizo project si ndo unasema za fisadi Magufuli sasa aliwezaje kuzijenga?
Miradi gan hiyo kaleta mama?
Kwani Magufuli anarudi kugombea?Tatizo hamjui hao chadema wanatumika kuvuruga image ya magu wenu ili baadae CCM team samia wanakuja kuwaaminisha vingine wananchi wakishakuwa confused kura itakuwa ishapigwa
Lissu sio wa kwanza kusema iyo taarifaWewe unaamini ujinga wa Lisu? Kazi yake kujiropokea tu kutafuta attention! Wewe ulishajiuliza ina maana serkali ilienda kufanya upekuzi kwenye makazi yake?
Je familia ni wajinga mpaka wasiweze kuhifadhi hela hizo vizuri?
Ni bilioni zaidi ya miaNani aliingia kufanya upekuzi na kuzihesabu hizo pesa ambazo ni sawa na milioni 9000+?
Tumia vizuri akili zako!
Thibitisha kama wanadanganya.Hata wengine walisema china, wengine canada, wengine malaysia..na huyu kasema nyumbani..kwa hiyo yeyote anaweza sema awazavyo.
[emoji1317][emoji1317]Wee jamaa nakukubali sana upo balanced, logical and grounded in common sense. Zaidi ya hapo hizi tuhuma za Lissu ni very serious kama ni za kweli.
Duh!Kuna chumba ambacho hakuna mwanafamilia aliyekua akiingia huko ilikuwa marufuku ñdipo alipokwenda mbele ya haki wanafamilia waliomba chumba hicho kichunguzwe kwani walielekezwa na mkuu wa kaya kuwa Kuna mabomu ñdipo kikosi Cha kutegua mabomu kikaenda na kukuta hayo marundo na Si hayo tu pia mrundo ya madini hasa gold diamond na tanzanite ndivyo Siri ilikofichuka hakuna mwafamilia aliekuwa anajua kinachoendelea. Na huo mzigo woote ulipelekwa B.O.T
Nilisema usikurupuke,narudia usikurupukeBado unaamini ulikuwa sahihi kusema Tsh bilioni 9 tu kutoka USD milioni 42