Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Ajabu sana, maswali yangu niliyouliza yanayohusu mada iliyoko mezani unayaita ya kitoto, huku wewe uliyeuliza maswali yaliyopo nje ya mada kuhusu kifo cha Magufuli ndio unajiona mjanja, Ok.
Mimi ujanijibu bado Kwahiyo now umemuona lissu baado ana akili kkubwa? Na hakuna mtu mwingine mwenyewe ako na akili kama kama lisu?
 
Kombora.....Tujiande kwa LINGINE...hilo litakuwa ZITO zaidi ...Dunia KIJIJI
 
Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?

Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".

Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
Mkuu P.......... Mimi nafikiri kwa vile huyu ni mwanasheria na anafaham kuwa atatakiwa kutoa ushahidi, let us wait for police offficers kufanya kazi yao wakishirikiana na TAKUKURU kulifuatilia hili ili kujua baada ya hapo pesa zilipelekwa wapi.
Je zilikuwa za Magufuli(person) au Magufuli(president).

Kwa vile ni pesa nyingi mno kwa hali ya kawaida si vema kuacha upepo upite tu.
Tunadaiwa leo about trion 1.6 za jamaa wa Indiana na zile za 'makinikia'........nani atazilipa kama siyo pesa zetu za kodi?
BILIONI MIA MOJA.....NYUMBANI KWA MTU!!?
SI VEMA KUGOMBANA NA MAREHEM, LAKINI NI UJINGA KUHOFU KUHOJI KITU ALICHOKIFANYA MAREHEMU.
 
Si afadhali yeye zimekutikana chato,Bado ziko zinazunguka kwa watanzania.Je? Zilizotoroshwa kwa wajomba na kwingineko nchi za nje kipi Bora?
 
Nachoona Lisu ana balance mambo,kamtukana sana Samia hadi kuitwa na DCI kuhojiwa. Lisu kagoma kwenda. Unafikir ni rahisi kugomea mamlaka na kuendelea kutamba?Lisu anajua Hasimu mkubwa wa namlaka ni Sukuma gang, ukiiponda Sukuma gang na jiwe unakua kwenye position nzuri ya kutoguswa.CCM hawasumbuliwi na CHADEMA wala ACT,CCM wanasumbuliwa na Sukuma gang, kama Lisu angeendelea Kumtukana Rais na akaside na Sukuma gang mamlaka zingekua zimemshughulikia kitambo sana. Ziara ya Lisu huko Chato ni faida ya CCM na sio LISU na CHADEMA coz mnufaika mkubwa wa SIASA za kumponda jiwe na sukuma gang ni CCM.Kuna Possibility ni maelezo ya CCM wenyewe kwa Lisu ili mambo yake yawe sawa aende chato akatoe makavu kwa Sukuma gang na jiwe wao.Toka mwanzo niliwahi sema CHADEMA hawako kuiondoa CCM madarakani, wako kuhakikisha CCM inadumu milele na ndio maana hata kwa hali iliyopo CHADEMA hawataki kuungana na kundi kubwa la sukuma gang kupambana na CCM.Watapambana na CCM lakini watakuja kubalance kwa kuishambulia sukuma gang, hapa mnufaika ni CCM.Lisu anajua ili upate kura nyingi kanda ya ziwa we msifie Jiwe,kwanini hafanyi hivyo?Ni mkakati wa CCM huo,wamewapa uhuru wa kufanya SIASA kila kona lakini sio kuungana na hili kundi.Wapige kelele watakavyo lakini wakumbuke pia sukuma gang inatakiwa kushambuliwa. Chadema haina tofaut na ACT, ukiwa smart utalitambua hili.

Ukisema Lisu sio mnafki utakua umeanza kumfuatilia Lisu leo.Huyu ndiye aliyemnadi Lowasa 2015.Huyu ndiye aliyekua anamsifia sana Samia na kumponda Magufuli.Saiz tena mara amponde Samia mara amsifie Magufuli mara amponde tena.So ni mtu wa kucheza na akili za wajinga wajinga na sio watu smart.Ukiona Kipa hayupo goloni na mfungaji kakosa goli katika mazingira ya wazi kabisa lazima ujiulize kuna nini?Mazingira ya CCM kutoka madarakani yako wazi kabisa. CHADEMA +SUKUMA GANG,CCM inatoka madarakani mapema sana ila sasa unakuta Lisu na CHADEMA wako busy kuishambulia Sukuma gang. CCM wanataka hali kama hii.Kulikua na mkutano wa kupinga bandari kuuzwa,ulimuona Lisu?Kuna kesi ya mwabukusi na wenzie,unawaona akina Lisu,Mbowe,Kibatala na wengine toka Chadema wakitoa msukumo?Ukifuatilia Lisu anasimama peke yake ndani ya Chadema kupambana na CCM,Mbowe naye anasimama peke yake kupambana na CCM na wengine wadogo wadogo ndio wanatumia chama kupambana na CCM, Sio Bahati mbaya. CCM inataka mfumo kama huu,ACT wako peke yao,Lisu yupo peke yake,Mbowe peke yake,Sukuma gang peke yao.

Niishie hapa
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.

Mkuu huelewi kitu. Labda ufahamu tu, kwa viongozi kama hawa ikitokea akakata moto kinachofanyika ni kuweka kila kitu salama.

Hivyo ghafla makazi yake yanapekuliwa ikiwa pamoja na private office zake.

Yote ni kuhakikisha kila kitu kinabakia salama.
 
Project gani? Hizo project si ndo unasema za fisadi Magufuli sasa aliwezaje kuzijenga?

Miradi gan hiyo kaleta mama?
Fisadi awamu ya tano aliiacha miradi mingi ikiwa chini ya 15% kufikia kumalizika, mama anamalizia 85% ya ukamilishaji miradi zaidi ya 4-5 mikubwa,(Giant projects)
Kutokana na taifa kutumia madola $ mengi katika ununuzi wa parts za ukamilishaji miradi, imesababisha imbalance katika dolars, zilizopo!,but soon it will recover!,kwani baadhi ya parts za mradi nilazima zinunuliwe nje kwa madola$ mengi.
 
Tatizo hamjui hao chadema wanatumika kuvuruga image ya magu wenu ili baadae CCM team samia wanakuja kuwaaminisha vingine wananchi wakishakuwa confused kura itakuwa ishapigwa
Kwani Magufuli anarudi kugombea?
 
Wewe unaamini ujinga wa Lisu? Kazi yake kujiropokea tu kutafuta attention! Wewe ulishajiuliza ina maana serkali ilienda kufanya upekuzi kwenye makazi yake?
Je familia ni wajinga mpaka wasiweze kuhifadhi hela hizo vizuri?
Lissu sio wa kwanza kusema iyo taarifa
 
Kuna chumba ambacho hakuna mwanafamilia aliyekua akiingia huko ilikuwa marufuku ñdipo alipokwenda mbele ya haki wanafamilia waliomba chumba hicho kichunguzwe kwani walielekezwa na mkuu wa kaya kuwa Kuna mabomu ñdipo kikosi Cha kutegua mabomu kikaenda na kukuta hayo marundo na Si hayo tu pia mrundo ya madini hasa gold diamond na tanzanite ndivyo Siri ilikofichuka hakuna mwafamilia aliekuwa anajua kinachoendelea. Na huo mzigo woote ulipelekwa B.O.T
Duh!
 
Back
Top Bottom