Labda moja ya masharti ya maridhiano ni kumsema vibaya JPM ili walipwe Ruzuku na malimbikizo yote ya kipindi cha nyumaLissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema
hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Kwan mnapanga kumpyupyu akiendelea kuongea?Haya
Ila awe mwangalifu wa ulimi wake!
Ila humu watu wanachukulia simple ile situation iliyompata LISSU laiti angefanyiwa mlinda legacy johnthebaptist angalau apate kionjo natumai angekua na hasira kuliko LISSU!!Ni kanuni tu ya saikolojia ya wanadamu kwamba aliyekufanyia ubaya hubaki katika fikra kwa muda mrefu. Itachukua muda mrefu kama sio maisha yote kwa mtu kama Tundu Lissu kumsamehe Magufuli.
Lissu aliumizwa sana katika jaribio la kuutoa uhai wake. Ndugu zangu hili sio jambo dogo hata kidogo! Kwa mwanadamu yeyote jaribio dhidi ya uhai ndio kitu cha kutisha zaidi.
Wasichojua watu ni kwamba kadiri Lissu anavyoongea kuhusu Magufuli ndio anavyozidi kuponywa nafsini mwake! Kwahiyo Lissu aachwe aendelee na mchakato wa kuiponya nafsi yake kwa kuyamwaga yote yaliyopo moyoni mwake kuhusu Magufuli.
Pia wakati Lissu akiponywa wapo watanzania wengi tu walioumizwa na Magufuli wanaendelea kuponywa.
Magufuli amefariki lakini Tundu Lissu anaishi na anahitaji kuuponya moyo wake, hivyo kusema yanini kuhangaika na marehemu sio sawa!
Pesa zetu za mskubaliano ya kufuta kesi ziko wapi? Na zile zilizokutwa China ukiacha alizokuwa anagawa barabarani kama njugu! Rais kugawa pesa bure ni uhujumu wa uchumi, tuwe wakweli kwa hili.Tundu Lisu akubali tu kuwa Magufuli ni mziki mnene
Mziki mnene ukashindwa pambana nae kwa hoja ukaona isiwe kesi..?Tundu Lisu akubali tu kuwa Magufuli ni mziki mnene
Asipojua hili, anapotea moja kwa mojaTundu Lisu akubali tu kuwa Magufuli ni mziki mnene
Si mlesema hapa tz watu wenye akili ni wawili tu lissu na mwambuù?Kwenye hili Lissu amelishwa matango pori. Na amekuwa mjinga kuropoka kama lilivyo bila kupima ukweli wake.
Atakuja tena na mtamunga mkono watz tunawajuaAsipojua hili, anapotea moja kwa moja