Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

No sijinasibu, ila both parents walikuwa huko, hivyo unajikuta umezaliwa with an average intel lakini sio mtu wa kule!.

By nature ya professional yangu, kuna mengi tunasikia, but sio kila unachosikia ni kweli!, vitu vingine ni too much exaggerated, hivyo you have to use your natural intel to make sense of it!. $ 42 m, is not a joke!, it just doesn't make sense!.

Duh...!

Kiukweli kabisa JPM alikuwa mkweli daima and sometimes mkweli too much!.
Ile issue nilioitiwa Bungeni, ni yeye aliisema!.
Hata zile pyu pyu alizisema!.

Hii issue ya mimi kuwa na sniffing nose kuhusu baadhi ya watu or issues ni kweli niko vizuri, na sio najisifu!.

Kuhusu kupoteza ... angalia tarehe ya bandiko hili
Mkuu leta agree to dis agree.
Kwamba fedha nyingi sana zilikutwa kwa Magufuli si jambo la kutungwa.
Lina ukweli na source ni huko huko.
Tunaweza bishana the exact amount.
 
ndiyo maana JPM alikuwa anawafungia mikutano kwani wanakuwa wanasambaza uwongo sana
Hili halijakaa sawasawa. Lissu anaweza kuwa kaingizwa chooni na kupakwa kinyesi mwili mzima.

Sababu za kulitangaza hili wakati huu sizioni kabisa.

Lakini taarifa ya aina hii, ukiwafungia ndiyo unaipa miguu, hata kama haina kiwiliwili. Stori za aina hii zinawamaliza wenyewe wanaozitoa.
 
Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?

Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".

Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
Wana chuki na jpm had leo
 
Kilikuw kiinua mgongo cha Mzee Baba

Alijilpa advance
😂😂😂😂Umewaza kikubwa.
Tuwe wahalisia muda mwingine kiongozi mkuu unasaini matrilion alafu ushindwe kuzuia billion mia.Si ndio ile unaletewa dokoment usaini unaaanza kutetema kwa sababu haujazoea kushika pesa ndefu.
 
Mkuu leta agree to dis agree.
Kwamba fedha nyingi sana zilikutwa kwa Magufuli si jambo la kutungwa.
Lina ukweli na source ni huko huko.
Tunaweza bishana the exact amount.
Naunga mkono hoja, lets agree kama ulivyo shauri!.

Naendelea kusisitiza watu humu, wasiamini kila wanachosikia!, vingine ni matango pori!.
Kuna watu wanaonekana very intelligent, wanapoamini ujinga kama huu na kuulipua, ukweli ukija kudhihirika wanaonekana stupid kabisa!.
Lissu ni mropokaji na nimeisha wahi kumshauri kuhusu uropokaji wa kuwatuhumu watu kwa tuhuma nzito za hisia tuu, huku akiwataja kwa majina, akitafutwa athibitishe kauli zake, ... huyoo...!, ubalozi wa EU, ...
Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

P
 
Naunga mkono hoja, lets agree kama ulivyo shauri!.

Naendelea kusisitiza watu humu, wasiamini kila wanachosikia!, vingine ni matango pori!.
Kuna watu wanaonekana very intelligent, wanapoamini ujinga kama huu na kuulipua, ukweli ukija kudhihirika wanaonekana stupid kabisa!.
Lissu ni mropokaji na nimeisha wahi kumshauri kuhusu uropokaji! Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

P
Ana wananchi wanamuamini pia
 
Ana wananchi wanamuamini pia
Huu ndio uzuri wa Watanzania!, they believe everything they hear na ndio maana kila siku wanadangwa na watu wale wale kwa uongo ule ule na ukifika uchaguzi, wanawachagua tena!.
Sasa watu kama hawa, unategemea nini?.
P
 
Naunga mkono hoja, lets agree kama ulivyo shauri!.

Naendelea kusisitiza watu humu, wasiamini kila wanachosikia!, vingine ni matango pori!.
Kuna watu wanaonekana very intelligent, wanapoamini ujinga kama huu na kuulipua, ukweli ukija kudhihirika wanaonekana stupid kabisa!.
Lissu ni mropokaji na nimeisha wahi kumshauri kuhusu uropokaji! Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

P
"...Lissu ni mropokaji...".
 
Back
Top Bottom