Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu leta agree to dis agree.No sijinasibu, ila both parents walikuwa huko, hivyo unajikuta umezaliwa with an average intel lakini sio mtu wa kule!.
By nature ya professional yangu, kuna mengi tunasikia, but sio kila unachosikia ni kweli!, vitu vingine ni too much exaggerated, hivyo you have to use your natural intel to make sense of it!. $ 42 m, is not a joke!, it just doesn't make sense!.
Duh...!
Kiukweli kabisa JPM alikuwa mkweli daima and sometimes mkweli too much!.
Ile issue nilioitiwa Bungeni, ni yeye aliisema!.
Hata zile pyu pyu alizisema!.
Hii issue ya mimi kuwa na sniffing nose kuhusu baadhi ya watu or issues ni kweli niko vizuri, na sio najisifu!.
Kuhusu kupoteza ... angalia tarehe ya bandiko hili
Kwamba fedha nyingi sana zilikutwa kwa Magufuli si jambo la kutungwa.
Lina ukweli na source ni huko huko.
Tunaweza bishana the exact amount.