Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

Basi na mimi niliepita sikauti ni jeshi la akiba
 
Hawa CCM hawatakupa jibu lolote hadi hapo Babu yao Pole pole atakapokamilisha kutafuta majibu,hakuna ndani ya hicho chama mwenye kukukjibu hata Mwenyekiti hawezi.Jana aliulizwa directly yeye ajibu leo kwamba hili Jeshi la Akiba limetoka wapi?Umesikia akijibu leo pale Kambarage Stadium?
 
Anauliza, very simple question " Jeshi la akiba liliundwa kwa sheria gani?"
Huwezi kuunda kila kitu kwa sheria. Hilo kusanyiko analohutubia hapi lipo kwa sheria gani?

Hao anaodhania walimdhuru si wapo kisheria? Mbona walimdhuru kama anavyowahisi.
 
Huwezi kuunda kila kitu kwa sheria. Hilo kusanyiko analohutubia hapi lipo kwa sheria gani?

Hao anaodhania walimdhuru si wapo kisheria? Mbona walimdhuru kama anavyowahisi.
Ukisoma utaelewa ulichoandika au unataka kuwapa shida tu wengine?
 
Genius Mkuu. Akiwa Rais wetu rasmi hiyo October.. tutafaidika sana na kichwa chake hicho.
Mtu ashakula mpaka advance af bado mnataka tumpe nchi! Hatuwez fanya huo ujinga
 
Jeshi la akiba linatoa wapi mamlaka ya kulinda mikutano ya kisiasa ?
Jeshi la akiba lina fanya kazi km msaidizi wa askari polisi sheria ya polisi inaitambua km msaidizi wake km hana majukum chini ya jwtz kwa wakati husika
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Eti anajua sheria kumbe ni fyatu tu.
 
Hivi unadhani hatujui sheria ?
Unajua...je nintakwa la katiba jeshi la akiba lipelekewe sheria yake bungeni?maana hata idadi ya wizara sijaona mtu akisema wizara hii imeanzishwa kwa sheria ipi?
 
Unajua...je nintakwa la katiba jeshi la akiba lipelekewe sheria yake bungeni?maana hata idadi ya wizara sijaona mtu akisema wizara hii imeanzishwa kwa sheria ipi?
Mkuu hujui lolote jaribu kuendelea na mambo mengine.

Hakuna jeshi linaloanzishwa kwa mazoea tu bila sheria.

Ningekuona wa maana sana kama ungesema tu hili jeshi la akiba limeanzishwa kwa sheria ipi, kifungu kipi.

Na limekuwa deployed kulinda mikutano ya kisiasa kwa mujibu wa kifungu hiki, tarehe fulani basi.

Nje na hapo kula chakula cha usiku ulale
 
Lisu ni mjinga tu.....anadhani kuropoka ndo kunaleta Urais
 
Hao jamaa wanaheshimika sana huko kwa wachunga ng'ombe usukumani
 
Basi kasome national defence act inalitambuaje...usiende specific kwenye sheria ya jeshi husika
 
Basi kasome national defence act inalitambuaje...usiende specific kwenye sheria ya jeshi husika
Mkuu jitahidi ule chakula chako cha usiku ulale hili unalojitutumua kujadili ni kubwa sana kwako huliwezi.
 
Huwezi kuunda kila kitu kwa sheria. Hilo kusanyiko analohutubia hapi lipo kwa sheria gani?

Hao anaodhania walimdhuru si wapo kisheria? Mbona walimdhuru kama anavyowahisi.
Mkuu Tanzania ni nchi,si familia ya Magufuli Wala yako.Sheria ndo inaweka utaratibu wa kipi kinapaswa kufanywa
 
Ni muhimu watz tukawa makini kipindi hiki. Hawa ni majizi ya kura yameandaliwa huko singida wananchi tujiandae kama tukishindwa kuwadhibiti sasa tutalizwa wakati wa kura . Wala1msifikiri these are speciAl criminals. Tundu Lissu our smartest president is right let us fight these interehamwes before it is late.
 
Mkuu Tanzania ni nchi,si familia ya Magufuli Wala yako.Sheria ndo inaweka utaratibu wa kipi kinapaswa kufanywa
Si kila jambo linapitishwa kwa sheria..kwani utaratibu wa kufanya usafi kwenye mitaa yetu upo kisheria??

Na kama ni hivyo atueleze yeye sheria ya mbunge kutibiwa nje ya nchi imekaaje? Na je alistahili kuibebesha bunge gharama za matibabu wakati mchakato wake wa kwenda nje ulifanywa ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…