Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

Hiyo kauli ya Dr. Slaa hujaielewa mantiki yake, mnakata vipande vya kuwafurahisha badala ya kuchukua statement yote, ili kutafuta justification ya ujinga wenu, sioni jipya toka kwenu na hii michezo yenu.
Leta iliyo kamili ili uni prove wrong. La sivyo unateswa na mahaba kwa Dr Slaa
 
Umsemea JWTZ nimekutajia kiapo cha JWTZ
Ulishawahi kuhudhuria kiapo Cha JWTZ ukasikia mahala popote wanatamka kwamba tutamlinda Rais?
Kama ndiyo hata Rais akifanya madudu yanayohatarisha usalama wa nchi ni Sahihi JWTZ kuendelea kumlinda,
Tuambie sehemu yoyote katika katiba inayoonesha kwamba ni jukumu la JWTZ kumlinda Rais
Mara nyingi na kama kawaida Kiapo huwa katika maandishi, tueletee sehemu ya kiapo inayoonesha kwamba Ni Jukumu la JWTZ kumlinda Rais na ni lazima kuapa hivyo!
Ujinga wako ni kushindwa kuelewa Nini maana ya kuwa mwaminifu na kuwa mlinzi! Rais atakapogeuka kiapo chake Cha kua mwaminifu Kwa jamhuri kama alivyoapa Jeshi halina budi kuasi na kumpindua au vinginevyo Mungu aamue Rejea Mapinduzi huko kaskazini mwa Africa na yakiyotokea Zimbabwe acha ujinga
 
Wale wameshindwa kuzuia nia yao ovu wakaamua kutamka wazi ,acha wabinywe
 
Hayo mtayaongekea Mahakamani, sisi tumekwisha mkamata
Wewe ni mjinga ashakum si matusi na huna unalojua na sifa ya mjinga ni kutumia nguvu na sio akili!
Akili Ina manufaa pale inaootumika vyema
 
Namkosoaga sana Tundu Antipas Lissu ila kwenye eneo ambalo nakiri na nasema ukweli ni kwamba Tundu Antipas Lissu ni mwanasheria smart sana.

Tundu Lissu anajua sheria hasa, kwenye maneno yake anapima kila kitu anachoongea kwenye mizani ya sheria ndo mana hata kumkamata kisheria ni ngumu sana.

Uhaini ni shtaka zito sana. Ndo shtaka lenye adhabu ya kifo tangu dunia iumbwe.

Walianza Adamu na Hawa ambapo Mungu aliwaambia mtakufa hakika maana waliamini wakila tunda la mti wa kati watakuwa kama Mungu.

Kwa maneno wanayosema Slaa, Mdude na Mwabukusi eti tutaiangusha Serikali ya Samia , eti tutaipindua kamwe huwezi kusikia hayo maneno akiyatamka mwanasheria makini Tundu Antipas Lissu.

Ushauri wangu kwa ufipa. Kamwe wenye akili hawasemagi tutapindua Serikali.

Kulitamka hilo neno tu ni kosa kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu.
kwani amekwambia atapindua kwa namna gani? waht if kwenye defence yake akasema alimaanisha taipindua kwa kutumia sanduku la kura, kwani hakuna utawala duniani uliwahi kuangushwa kwa sanduku la kura?
 
Wewe ni mjinga ashakum si matusi na huna unalojua na sifa ya mjinga ni kutumia nguvu na sio akili!
Akili Ina manufaa pale inaootumika vyema
Wewe ni mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako ni nani!! Unachojuwa ni matusi tu. Jichunge utakuja tukana mpaka sisi baba zako
 
Wewe ni mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako ni nani!! Unachojuwa ni matusi tu. Jichunge utakuja tukana mpaka sisi baba zako
Hahaa kwahiyo kuitwa mjinga ni tusi hapo ndio uelewa wako ulipofikia na ukiitwa mjinga unashangaa na kutoa matusi, siwezi kuwa na baba mjinga kama wewe itakuwa ni nahisi kwenye ukoo, labda nikusaidie
"mjinga" linaweza kutumika kumaanisha mtu ambaye anaonekana kuwa hafahamu au haelewi mambo kwa urahisi. Mara nyingi linaweza kuwa na maana ya kumwita mtu asiye na maarifa au mwenye ujinga katika muktadha fulani. Ni muhimu kutambua kwamba
 
kwani amekwambia atapindua kwa namna gani? waht if kwenye defence yake akasema alimaanisha taipindua kwa kutumia sanduku la kura, kwani hakuna utawala duniani uliwahi kuangushwa kwa sanduku la kura?
Hizi akili ndogo haziwezi kuelewa ndio maana wanangukia pia nyumbani na ugenini na kuendelea kulitia taifa hasara Kila siku!
Hawajui sasa hivi utalii unashuka sababu wanajua kwamba nchi Iko kwenye hatari ya Mapinduzi ambayo wameyatangaza wao wenyewe kwenye media rasmi za nchi!
 
Back
Top Bottom