tutaishia kudai tu uchaguzi huru na haki na hiyo katiba mpya utakayo kwa mdomo., nani anaweza kufanya chochote baada ya kuibiwa kura zaidi ya mdomo? Fanya yako ushughulikie familia yako hayo mambo ni kupoteza mda tu, Tz bado sanaUnasoma wapi hayo ya kusubiria Katiba ya kupewa na CCM?
1. "Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi"
2. "Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia"
Kulikoni upeo duni namna hii wa kuchambua hata mambo madogo?
tutaishia kudai tu uchaguzi huru na haki na hiyo katiba mpya utakayo kwa mdomo., nani anaweza kufanya chochote baada ya kuibiwa kura zaidi ya mdomo? Fanya yako ushughulikie familia yako hayo mambo ni kupoteza mda tu, Tz bado sana
Umeona sasa ulivyo na akili ndogo.Ungekuwa na akili ungekuwa umejikita kwenye mada. Badala ya kujadili mada unahangaika na mleta mada asiye na haja ya kuhangaika nawe.
Hoja haipingwi kwa rungu ndugu.
Bure kabisa!
Mbona hata Jeidabliyutizedi nasikia nao wanaunga mkono no katiba mpya no uchaguzi?Ichaguzi utakuwapo sema yeye Tundu Lissu hatashiriki. Asiwasemee wengine. Hicho ni kipindi cha watu kupata nafasi za udiwani na ubunge na watu wamewekeza wakagombee. Lissu hawezi kuwaamulia.
Umeona sasa ulivyo na akili ndogo.
Mimi nilijadili hoja yako kuhusu wanasiasa na kauli zako.Wewe ukaja kunijadili mimi na ukaweka maneno ya mbwembwe ili uoneshe ujinga wako jukwaani.
Sa hizi unarukaruka kuwa nijadili mada sio mleta mada.Tuliza akili na kama ungekuwa na akili timamu siasa za hii nchi zisingekuchukulia akili zako.
Huu ujumbe unapaswa wewe ndio uusome kwa makini na uuingize akilini.
JW ya Kazuramimba kijijini kwako?Mbona hata Jeidabliyutizedi nasikia nao wanaunga mkono no katiba mpya no uchaguzi?
Au mnabisha!
Nani kataja JW wewe! Mbona unakuwa chizi!JW ya Kazuramimba kijijini kwako?
Maneno yako haya hapa;Nani kataja JW wewe! Mbona unakuwa chizi!
Huu ujumbe unapaswa wewe ndio uusome kwa makini na uuingize akilini.
Maana wewe ni mfu na haujui kama ni mfu,Sasa nakuzindua ili ujue wewe ni mfu.
Acha kuamini kauli za wanasiasa maana ni kawaida yao kuongea na kuja kuzikana kauli zao baadae.
Katiba inaweza isipatikane na uchaguzi ukafanyika na waliosema hizo kauli nao wakashiriki kwa kauli zingine mpya.
Tujipe muda ni hakimu mzuri sana.
Lissu alikuwa mtu wa kwanza kukimbia nchi baada ya uchaguzi, aliitisha maandamano nchi nzima hakutoka hata yeye, mbowe pia., mlishindwa na nchi ndogo kule zanzbiar, subiri hiyo katiba uitakayo ili ikutoe hapo ulipoWewe nani mnadai nini kwa mdomo?
Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole
Ya maneno matupu si tulikubaliana kuachana nayo mlipochagua kujiita mawe?
Uchaguzi utafanyika tu maana si lazima Chadema washiriki uchaguzi ndo uitwe uchaguziHIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Uchaguzi utafanyika tu maana si lazima Chadema washiriki uchaguzi ndo uitwe uchaguzi
Uchaguzi utafanyika tu maana si lazima Chadema washiriki uchaguzi ndo uitwe uchaguzi
Umeenda wapi au umepeperushwa na upepoZito atashiriki uchaguzi usokuwepo? Hakuna mtu atasusa time hii.
Uchaguzi watashirikiWatashiriki uchaguzi upi usiokuwapo? Inawauma mno kusikia uchaguzi hamna? Kwani mlishakamilisha mipango yote ya wizi?
Uchaguzi 2024 na 2025Zito kasema Nia yake ni kutokuachia nguruwe shamba
Ashiriki uchaguzi upi usiokuwapo ndugu?
Mabarazani kwako na viwanjani kwako labdaWakilazimisha uchaguzi ufanyike,
Njia pekee ni kupiga kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani.
Hapo ndipo hapatakuwa na kura fake au goli la mkono.
It's now or never.
Nipo ndugu.Umeenda wapi au umepeperushwa na upepo
Mbarali juzi chadema hawakushiriki, uchaguzi haukuwepo?Atashiriki uchaguzi upi usiokuwapo?