Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

Unasoma wapi hayo ya kusubiria Katiba ya kupewa na CCM?

1. "Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi"

2. "Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia"

Kulikoni upeo duni namna hii wa kuchambua hata mambo madogo?
tutaishia kudai tu uchaguzi huru na haki na hiyo katiba mpya utakayo kwa mdomo., nani anaweza kufanya chochote baada ya kuibiwa kura zaidi ya mdomo? Fanya yako ushughulikie familia yako hayo mambo ni kupoteza mda tu, Tz bado sana
 
Wewe na nani mnadai nini kwa mdomo?

Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole

Ya maneno matupu si tulikubaliana kuachana nayo mlipochagua kujiita mawe?
 
Ungekuwa na akili ungekuwa umejikita kwenye mada. Badala ya kujadili mada unahangaika na mleta mada asiye na haja ya kuhangaika nawe.

Hoja haipingwi kwa rungu ndugu.

Bure kabisa!
Umeona sasa ulivyo na akili ndogo.

Mimi nilijadili hoja yako kuhusu wanasiasa na kauli zako.Wewe ukaja kunijadili mimi na ukaweka maneno ya mbwembwe ili uoneshe ujinga wako jukwaani.

Sa hizi unarukaruka kuwa nijadili mada sio mleta mada.Tuliza akili na kama ungekuwa na akili timamu siasa za hii nchi zisingekuchukulia akili zako.
 
Ichaguzi utakuwapo sema yeye Tundu Lissu hatashiriki. Asiwasemee wengine. Hicho ni kipindi cha watu kupata nafasi za udiwani na ubunge na watu wamewekeza wakagombee. Lissu hawezi kuwaamulia.
Mbona hata Jeidabliyutizedi nasikia nao wanaunga mkono no katiba mpya no uchaguzi?
Au mnabisha!
 
Umeona sasa ulivyo na akili ndogo.

Mimi nilijadili hoja yako kuhusu wanasiasa na kauli zako.Wewe ukaja kunijadili mimi na ukaweka maneno ya mbwembwe ili uoneshe ujinga wako jukwaani.

Sa hizi unarukaruka kuwa nijadili mada sio mleta mada.Tuliza akili na kama ungekuwa na akili timamu siasa za hii nchi zisingekuchukulia akili zako.

Hata wafu huwa ni hivyo:

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg

Kwa hakika uko sahihi.
 
Hata wafu huwa ni hivyo:

View attachment 2800409

Kwa hakika uko sahihi.
Huu ujumbe unapaswa wewe ndio uusome kwa makini na uuingize akilini.

Maana wewe ni mfu na haujui kama ni mfu,Sasa nakuzindua ili ujue wewe ni mfu.

Acha kuamini kauli za wanasiasa maana ni kawaida yao kuongea na kuja kuzikana kauli zao baadae.

Katiba inaweza isipatikane na uchaguzi ukafanyika na waliosema hizo kauli nao wakashiriki kwa kauli zingine mpya.

Tujipe muda ni hakimu mzuri sana.
 
Heri mfu, wewe ni yule mwingine!

Mengine jiambie mwenyewe wengine hayatuhusu!
 
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:

HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.

HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.

Kauli ya wengi ni kauli Mungu.

Aluta continua!
Uchaguzi utafanyika tu maana si lazima Chadema washiriki uchaguzi ndo uitwe uchaguzi
 
Uchaguzi utafanyika tu maana si lazima Chadema washiriki uchaguzi ndo uitwe uchaguzi

Unafanyika je kama haupo?

"Msimamishaji si chadema. Hata kama chadema atautaka, hautakuwapo."

Au tuandike kikwenu kitindiga?
 
Wakilazimisha uchaguzi ufanyike,

Njia pekee ni kupiga kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani.

Hapo ndipo hapatakuwa na kura fake au goli la mkono.

It's now or never.
Mabarazani kwako na viwanjani kwako labda
 
Back
Top Bottom