GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtoa post naona anaandika kwa kutafuta sifa fulani za kijinga. Otherwise anafikiri kwa kutumia mtandao wa simu
 
Wewe ni bonge la mpuuzi na kisebengo mla makombo mkubwa
 
Ni maslai yapi hayo lissu anayo yapambania kwa manufaa yake ? Hivi watu wakuelewe vizuri.
 
Nilipofika para hii ndiyo nimeelewa lengo la uzi wako mkuu. Kwakweli inasikitisha sana
 
Huo ni mtazamo wako hatukatai Mkuu ila wenzako hatuoni kama hivyo.
 
We fala !!! angekuwa ana pigania maslahi yake angekuwa kibaraka kama mbowe au angejiunga na CCM wezi ale maisha.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Chura a.k.a Dalali anapigania walanguzi,wezi n mafisadi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huna elimu huna unachojua mbaya zaidi huna akili.
 
Hapa TL alikuwa anapigania maslahi ya nani!?

"
Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" "
 
Umesaau Mkuu ngoja Tukumbushane kumuusu uyo Mkombozi wenu mwenye kitambi !!

hoja jibu.? Lisu mwenyewe alidai kuwa anamdai pesa Mama Abdul wewe kwa uwelewa wako ni pesa gani mama Abdul alikopeshwa na Lisu ?

Tuanzie apo ili uwelewe kwann mleta. Mada katumia neno Lisu yupo kupigania mkate wake !!

na sio kukupigania ww Mdanganyika!!
 
Mbona hujataja maslahi binafsi ya Lisu. Reforms wewe huziihitaji? Zikipatikana reforms na mifumo Bora ya haki itakuwa ya Lisu au ya Tanzania. Ficha kidogo upumbavu wako
 


Nawewe nenda kapigwe risasi 16 na kakae jela kwa maslahi yako kama utapona
 
Upuuuuzi
 
itoshe kusema huna akili
 
Uandishi huu ni wa fala+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…