Ugali wa nani ?Hapa TL alikuwa anapigania maslahi ya nani!?
"
Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" "
Kama haujjavutaa bangi wewe basi akili zako hazikutoshi. Pole sana. Watawala waliojidhania kuwa wao ni miungu siku moja hawakuamini yaliyowakuta. Ni swala la muda tuuLissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hayooLissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Kwa upande wa Samia na wapinzani hayuko vizuri, alimkamata mbowe na kumweka mahabusu miezi 8 na kumfungulia kesi ya uwongo ya ughaidii. Leo mwenyekiti wa chadema Yuko ndani kwa kesi ya uwongo uhaini.Sioni huruma ya Samia kwa wapinzani hasa wa chademaLisu baada ya kulipwa Stahiki zake za Ubunge ambazo ziliminywa uko nyuma !!
lkn Rais Samia Suluhu Hassan kwa Ubinadam wake kama tulivo sisi akaona hapana Lisu kaonewa kutokulipwa Stahiki zake za Ubunge !!
Rais wetu kafanya yaliondani ya uwezo wake kuakikisha Lisu analipwa Stahiki zake ambazo zipo Kisheria..!!
Lisu baada ya kulipwa kichwani mwake akadhani. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN dhaifu ndio asante yake!¿¿
kwaiyo Lisu akaja kudai tena malipo ya tangu yupo uko Ulaya kwenye tiba zake na kudai Eti anamdai Mama Abdul. !!
Ndio shuklan yake. Kwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN !!
RAIS wetu aligoma kumlipa malipo yalionje ya Sheria zetu !!
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kaapa kulinda pia Rasilimali zetu !!
kwakuwa kanyimwa pesa za kinyume na Sheria Lisu ndio akaanza kubwabwaja ili kumfitinisha RAIS SAMIA SULUHU HASSAN na wananchi wake. !!
apo Majina ya Mzanzibar yakaanza ya mtanganyika tukasikia na mengine kibao. !!
Na vile pia kajua. Kwenye Uchaguzi watashindwa ni kama tayali washashindwa ndipo akaona agomee chama chake kushiriki
Uchaguzi !!!
Kelele zate Lisu bado yupo ndotoni kudhani RAIS SAMIA ni Dhaifu sasa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO Wa Tanzania anakuwaje Dhaifu kama sio kujitafutia matatizo. Leo anajidai Mkombozi !!!
Swali la kujiuliza Mkombozi gani mwenye kushirikiana na wakoloni
Mkoloni lini kawa mwema kwa mtu Mweusi !!!
uko Africa Magharibi wanapambana kuwafukuza wakoloni !!
Namm najiuliza Mkombozi gani mwenye Kitambi!!!
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Gwajima nayeye yupo ndotoni kama mwenzie Gwajima angekuwa mwenye maono makubwa jambo la kwanza angemuomba msamaha RAIS Sababu niyeye ndio kamchokoza tunajua.
Soma vizuri, acha kukurupuka. Mbona anasema ugali wa mapapa na wanamtandao waliokulipa ili uje kuwatetea humu jukwaaniUgali wa nani ?
Sina imani km mawazo haya yametoka kwenye kichwa mtu mzima au ni mawazo ya AILisu baada ya kulipwa Stahiki zake za Ubunge ambazo ziliminywa uko nyuma !!
lkn Rais Samia Suluhu Hassan kwa Ubinadam wake kama tulivo sisi akaona hapana Lisu kaonewa kutokulipwa Stahiki zake za Ubunge !!
Rais wetu kafanya yaliondani ya uwezo wake kuakikisha Lisu analipwa Stahiki zake ambazo zipo Kisheria..!!
Lisu baada ya kulipwa kichwani mwake akadhani. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN dhaifu ndio asante yake!¿¿
kwaiyo Lisu akaja kudai tena malipo ya tangu yupo uko Ulaya kwenye tiba zake na kudai Eti anamdai Mama Abdul. !!
Ndio shuklan yake. Kwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN !!
RAIS wetu aligoma kumlipa malipo yalionje ya Sheria zetu !!
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kaapa kulinda pia Rasilimali zetu !!
kwakuwa kanyimwa pesa za kinyume na Sheria Lisu ndio akaanza kubwabwaja ili kumfitinisha RAIS SAMIA SULUHU HASSAN na wananchi wake. !!
apo Majina ya Mzanzibar yakaanza ya mtanganyika tukasikia na mengine kibao. !!
Na vile pia kajua. Kwenye Uchaguzi watashindwa ni kama tayali washashindwa ndipo akaona agomee chama chake kushiriki
Uchaguzi !!!
Kelele zate Lisu bado yupo ndotoni kudhani RAIS SAMIA ni Dhaifu sasa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO Wa Tanzania anakuwaje Dhaifu kama sio kujitafutia matatizo. Leo anajidai Mkombozi !!!
Swali la kujiuliza Mkombozi gani mwenye kushirikiana na wakoloni
Mkoloni lini kawa mwema kwa mtu Mweusi !!!
uko Africa Magharibi wanapambana kuwafukuza wakoloni !!
Namm najiuliza Mkombozi gani mwenye Kitambi!!!
Jibu kwanza hoja iliyopo: kwa maneno yale ya, Lissu anapigania maslahi ya nani hasa? Acha kuzunguka na kuleta hoja dhaifu zisizo na msingi."Umesaau Mkuu ngoja Tukumbushane kumuusu uyo Mkombozi wenu mwenye kitambi !!
hoja jibu.? Lisu mwenyewe alidai kuwa anamdai pesa Mama Abdul wewe kwa uwelewa wako ni pesa gani mama Abdul alikopeshwa na Lisu ?
Tuanzie apo ili uwelewe kwann mleta. Mada katumia neno Lisu yupo kupigania mkate wake !!
na sio kukupigania ww Mdanganyika!!
Ni nani anawapigania wa TanzaniaLissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga
Yupi kati ya yeye na ccmLissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Shida za watanzania ni maji , umeme , afya , amani na uhakika wa kula baasi , as long as CCM inafanikisha haya yeyte anayejiita mtetezi wa Watanzania ataishia pabaya tuu , no one cares , Watu wawe na njaa uoneLissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Mkuu kwani wakenya wana silaha ?Angalia usije kuyakimbia haya maneno yako. Au kwakuwa hatuna silaha ndio mnatuchukulia poa? Inaonekana mnadhani tutakuwa waoga siku zote, ama tutakosa silaha muda wote.