Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Maridhiano bila maandishi ni ujinga. Lazima kuwe na document inayosema mnalidhiana nini na mnatokaje mlipo, sasa ccm hawataki maandishi, wala committmeny ya aina yoyote, huo ni ulaghai.
Wale wenye mapanga hawakutaka tuweke kwenye maandishii.......nafsi ziliwasuta
 
Kumbe Uchaguzi mtashiriki? Nawakumbusha tuu Lisu kwao ni Ubelgiji.
Naona jizi la kura umepata hamaki maana iwapo cdm watashiriki watawaharibia mahesabu ile mbaya. Kwani kuwashinda kihalali haiwezekani, hivyo wizi wa kura ndio njia pekee. Njia hiyo inawatia aibu lakini hamna jinsi kwani mnaona aibu kushindwa, na hamko tayari kutoka madarakani kwa amani maana mnajua wengi mtaishia jela. Tunasubiri hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Sure
 
Atafukuzwa na mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…