Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tutaelewana tu
Mbowe anaushawishi mkubwa ndan ya Chadema na Ccm na hii ishaanza jionesha
Saiv kuna kampani kubwa sana ya kumshambulia na kumshusha lisu kutoka kwa chawa wa ccm na chadema

Na iv punde tutaanza kuona vituo vya radio na tv vikimponda na kumshusha lisu na kumsifia mbowe sabu wanajua mbowe ni mtu wao ila lisu sio mtu wao na ni ngumu kumbadili msimamo
Ata wale machawa maarufu wa mjini mda si mrefu wataanza kuongea ni suala la muda tu

Kwa mwanachadema mwenye akili ashajua kabsa lisu ni ttzo kwa Ccm kwaiyo watafanya njia yyte ili kumshusha sasa km mwana chadema mwenye akili ni wakat wenu kumpigania na kumsafisha lisu kwa nguvu yyte ile
 
WaTZ huwa tunabebwa na taarifa cheap na kuzipa uzito usiostahili. Hii ni mojawapo.
 
Michango ya ukumbi ilitolewa na Chadema diaspora chini ya hamasa ya Kamanda Liberatus Mwang'ombe, na mkeka uliwekwa wazi mitandaoni siku ile ile ya press conference.
Katika hali ya kawaida, mtu ambae ni critical thinker hupaswa kutafuta taarifa za ukweli kabla ya kukurupuka na kutoa tuhuma za uzushi.
Kama mnataka Lissu ajibu kila uzushi wa machawa na nyumbu msiojua demokrasia... itampasa aitishe press conference kila baada ya nusu saa!
Anyway, mnapaswa kuelimishwa, sio kulaumiwa.
 

Mkuu chawa wamechachawa.



Ila ukweli utabakia pale pale!
 
Acha hizo

Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa

Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana

Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza πŸ˜€πŸ˜€
Kupitia baadhi ya matajiri wa CCM - lissu kessha
 
LISSU ANAENDESHWA NA MSIGWA KAMA REMOTE CONTROL, ANAJIFANYA MJANJA MWAKA HUU KAJIMALIZA KISIASA
 
Wiki inayokuja kuna gazeti moja la kila Alhamis litakuja na miala yote kutoka msigwa kwenda mlimani city
Acha kukurupuka tuligharamia Press wengi ni sisi Diaspora chini ya Liberatus

ACHENI kuokoteza maneno na hili liliwekwa wazi mitandaoni
I
 
Tuache demokrasia ifuate mkondo wake. Siasa chafu hazina nafasi. Weka uthibitisho hapa tukuamini. πŸ™πŸ™πŸ™
 
L
Nafikiri CCM ndio wamuulize Msigwa kwa nini kajihusisha na hayo maandalizi, kama kweli. Wajuaje labda Msigwa ni pandikizi la Chadema CCM au anataka kurudi CHADEMA? Sioni sababu ya yeye kujibu kwa kweli.
Lissu anaendeshwa na msigwa, hata kile kikao wajumbe walisafiridhwa kupitia msigwa foundation, kama ulisoma gazeti la mwananchi utashtuka
 
Mkuu Tindo hilo lilikuwa na madhara gani ndani ya chama? Lakini hili ni kubwa kwani linaweza kuharibu uchaguzi wa chama chetu kwa huu UONGO kwani kuna watu watamnyima kura Lissu sababu ya kuruhusu uongo uonekane ni ukweli.
Haahaa Kwa lissu kazi wanayo, alisema kama anatembea na risasi ataogopaje mawe ya majasiri wa mtandaoni
 
Mkuu sasa nawewe unakataa kuwa we ni mjinga?
Lissu akose hela ya ukumbi?
Anaenda Ubelgiji kila mara akose hela ya ukumbi,aisee....
 
Lissu anaendeshwa na msigwa kama remote control? Dah ujanja ujanja kaingia tundu bovu
 
Huo ndo ukweli, mbowe akiwa mwenyekiti Tena wa chadema, ccm watampa Samia ushindi wanaotaka mwakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…