Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital. Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu View attachment 2692011

Nyinyi ndiyo manaoitwa wachumia tumbo ,walambisha asali ,kwahiyo kulipwa kwa stahili zake lissu ni hisani? Nyinyi ndiyo mkishapata pakula mnakaa kimya mnaacha maovu yanatendeka.
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital. Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu View attachment 2692011
Umeandika matope..!!! Tena matope ya ki Huihui2
Usije ukafanya jambo jema kwa mtu halafu utegemee akutetee siku umefanya ujinga. YAani maji na mafuta havitachangamana hata siku moja.
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital. Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa View attachment 2692011Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
Hapo watanzania ndipo tunapokosea yani asiseme ukweli wa sababu alipata feva hiyo sio sawa ni ubinafsi uliovuka mipaka na ndio mana Mano mengi hayaendi kwa kuoneana aibu.
lissu yuko sahihi kabisa na ana baraka zake kutoka kwa Mungu juu Kwa sababu anafanya Kwa ajili ya Taifa la Tanzania bila kujali yeye alifanyiwa nini na nani.