kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #61
Ndio maana hakuna aliyemzuia ni yeye na jamaa zake!Acha lissu afanye mambo yake,anaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana hakuna aliyemzuia ni yeye na jamaa zake!Acha lissu afanye mambo yake,anaweza
Sawa.Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .
Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.
Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!
Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Talent ya kutukana siyo? Uko Mirembe au uko wapi tukuwahishe sasa hiviLissu ni talented, ukianza kumsikiliza hauchoki.. anavutia kusikiliwa..
HakikaLissu ni talented, ukianza kumsikiliza hauchoki.. anavutia kusikiliwa..
Kura kwa tume ipi, hii ambayo mwenyekiti wa ccm anapanga na genge lake matokeo yaweje kwa kushirikiana na vyombo vya Dola?Ni kupiga kura kwa wingi wastani wa umri unawabeba wapinzani!
Tume imebadilishwa jina maana kwa takwa la wananchi kama wewe sasa ni tume huru ya uchaguzi hamasisha wengine mkajaze sanduku mzilinde kura zenu!Kura kwa tume ipi, hii ambayo mwenyekiti wa ccm anapanga na genge lake matokeo yaweje kwa kushirikiana na vyombo vya Dola?
Watu wajinga ndio watajitokeza kupiga kura kwa tume kubadilishwa jina.Tume imebadilishwa jina maana kwa takwa la wananchi kama wewe sasa ni tume huru ya uchaguzi hamasisha wengine mkajaze sanduku mzilinde kura zenu!
Halafu unakuta hao vuvuzela wa ccm wengine ni watumishi na wanalia lia na kikokoto na umasikini wao baada ya kustaafu.CCM badala ya kuongelea suala la mwenyekiti wenu kukimbia hoja ya kikotoo kwenye sherehe za Mei mosi, mnaleta umbeya usio na mashiko 🤔
Bado tu mnatumiaga mbinu hii ya propaganda uchwara za miaka 47?Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .
Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.
Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!
Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Mtu mwenye maarifa angekaa kimya akachimba undani wa jambo ,nyumba inatekea!Bado tu mnatumiaga mbinu hii ya propaganda uchwara za miaka 47?
Huu uwendawazimu wenu wa kujaribu ku - baffle mgogoro ndani ya CHADEMA hujitokeza kila zinapokaribia chaguzi kuanzia 2005, 2010, 2015 na zaidi ilikuwa 2020...
kipara kipya unadhani una akili utaiweza kuicheza ngoma ya CHADEMA wewe na wenzako maana style ya propaganda ni ileile na watu ni walewale tangu miaka ileeeeeee na ilishashindikana!!
Wacha Mjinga Mbowe na wafuasi wapige kura!Watu wajinga ndio watajitokeza kupiga kura kwa tume kubadilishwa jina.
Kabisa, tena sio kupiga kura tu, wakakae kuanzia Sasa na familia zao kwenye vituo vya kura hadi siku ya uchaguzi.Wacha Mjinga Mbowe na wafuasi wapige kura!
Umefanya hasira!Kabisa, tena sio kupiga kura tu, wakakae kuanziq Sasa na familia zao kwenye vituo vya kura hadi siku ya uchaguzi.
Lucas uteuzi ni mgumu sana ndugu yangu lakini upambanie. Kwa akili yako kabisa unaamini ujumbe huu ni kweli? Basi utakuwa umewaza kwa namna ya ajabu sana kukubali hili jambo kama la kweli.Mimi Mwashambwa Lucas Nasema acha wapinduane tu mpaka na ikibidi hata wagawane mbao ili kila mtu aende na mbao zake kwake kukokea moto kwa ajili ya kuota kupata joto.
Kabisa, sio hasira ndogo. Wenye muda wa kupoteza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi wanaruhusiwa.Umefanya hasira!
wewe rudisha tu!Mpaka unatamani kurudisha kadi ya chama lakini unasema yawezekana itafika siku chama changu kitakomaa kwa siasa za ukomavu.
Mbona wana usubiri kwa hamu kubwa na shauku wanasema wanatayarisha vichinjio!Kabisa, sio hasira ndogo. Wenye muda wa kupoteza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi wanaruhusiwa.
Umeandika utumbo mtupu, halafu wakati mwingine habari zenye kuvuta hisia za watu muwe mnaandika kwa weledi basi.Pafukapo moshi ujue kuna moto,