Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Japhet Karibu

Member
Joined
Feb 27, 2020
Posts
79
Reaction score
129
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Je, sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
 
Mbona wewe umeandika mistari 12 bila nukta wala koma na hatujakufuatilia?? Na hicho kichwa cha habari umerudia kusoma kabla upost lakini???

Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Itamhazibu - Itamuadhibu..!
 
Mahakama na upande wa washitaki wakishindwa nitawashusha sana, huyo mtu ni mpuuzi angelikuwa anajali afya sana angeliingia nchini kimya kimya na asingelishiriki yale maandamano kutoka airport....wakati anafanya zile mbwembwe hakuogopa corona?!?
 
Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Kamanda mwenzangu, tukubali tu Makamu Mwenyekit amecheza rough kama ilivyo kawaida ya maccm
 
Mbona wewe umeandika mistari 12 bila nukta wala koma na hatujakufuatilia?? Na hicho kichwa cha habari umerudia kusoma kabla upost lakini???

Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Itamhazibu - Itamuadhibu..!
Mkuu muache jamaa afanye yake. Kichwa chake hakijui kua smart. Bado hajui kuandika. Na najua hajui kama hajui.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom