Ben Bella
JF-Expert Member
- Dec 3, 2019
- 529
- 1,858
Tutamchagua hata akiwa jela. Meko hana nafasi awamu hii.
Siku dhamana ikifutwa akawekwa kupango mtakuja na ngonjera za kuwa anaonewa sijui hakuna uhuru