Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Wapi nilipoandika kuhusu Lissu? 😳😳
Nimeuliza swali sijaandika chochote kuhusu Lissu. Acha KUKURUPUKA.

Lissu kawaweka njia panda!! Inakuwa vigumu kwenu kumtetea wakati ninyi ni ' akili kubwa' kwa mujibu wa Peter Msigwa (Mch.)
 
Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi

Hakuna mpakwa mafuta wa mungu ambaye ni muongo.
Heshim upako wa mungu wewe.
 
Hivi Ni kwamba unakimbizwa au umevimbiwa ? Mbona unaandika Kama umeshikwa kende na baamedi?

Lissu atawapa madonda ya tumbo !
 
Sheria inasema pia kutoongelea jambo ambalo linaendelea mahakamani ili kama mahakama ikitoa uamuzi fulani isije ikaonekana kama sisi ndiyo tulioishauri/elekeza na hivyo kuifanya isiaminike machoni pa umma. Tuiachie mahakama inajua itafanya nini kama kutakuwa na ushahidi kwamba alidanganya! Tuwe waangalifu sana.
 
Hivi ni quarantine au isolation? Mimi nijuavyo quarantine na isolation ni vitu tofauti...kimoja kinahusiana na corona na kingine ni mapumziko kwa muda fulani bila kuwa watu wengi
 
Huyu ni wa kumwonea huruma tu, mahakamani atawaonyesha makovu ya risasi mpaka hakimu atamwonea huruma.
Na bado anatembea na risasi nyingine kiunoni !!
Pamoja na USALITI wake wamwache tu hana mwendo mrefu, muda si mrefu atakuwa mwenyekiti/rais wa CHAWATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wewe umeandika mistari 12 bila nukta wala koma na hatujakufuatilia?? Na hicho kichwa cha habari umerudia kusoma kabla upost lakini???

Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Itamhazibu - Itamuadhibu..!
Hahhahaaa raha sana
 
Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Mbona unahemkwa kijana jibu hoja acha paparapupa
 
Kwa wabeba mizigo tunajua ukiushusha mzigo chini si dawa utakusubiri tu.

Ikifika zamu ya mahakama kujiweka karantini na kuwekana ndani kwa kukosea masharti ya wadhamini naye awe mpole.
Mara kampeni hiyoooo, uchaguzi huoooo

Ova
Bush doctor
 
Mkuu kiswahili gani hicho, nimesoma heading tu nimeshindwa kuendelea kabisa
 
Unadhan walemavu wote walizaliwa hvyohvyo?lolote linawezekana we ahmaku
Huyu ni wa kumwonea huruma tu, mahakamani atawaonyesha makovu ya risasi mpaka hakimu atamwonea huruma.
Na bado anatembea na risasi nyingine kiunoni !!
Pamoja na USALITI wake wamwache tu hana mwendo mrefu, muda si mrefu atakuwa mwenyekiti/rais wa CHAWATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.

Labda Majaji wa Mahakama Kuu ya CCM aliokuwa akienda Kuonana nao aliwahisi watakuwa na CORONA, ila wana CHADEMA Wenzie wako njema.
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
" Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo mahakamani".
Katika hawamu hii ya 5 suala la sheria sio kipaumbele. Moja ya mifano ni kesi zenyewe.
Lissu ana akili kubwa kuliko wanao muwinda kwa hila zao. Kitendo cha kutomkamata wakati anaingia nchini hakikuwa bahati mbaya bali ni mipango maalum, kwa sababu hawakuwa na hoja za msingi kuweza kulitekeleza hilo kama walivyo ahidi. Wanamsubiri aingie mahakamani ili wamzuilie kwa kisingizio kwamba wadhamini walijitoa. Lissu ameshalijua hilo ndio maana ameona apate nafasi kwanza yakushiriki vikao vya chama. Na kama wakimpitisha kugombea urais, na mahakama ikakubali kutumika kumuweka kizuizini huo ndio utakuwa mwanzo wakuvurugika kwa uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom