Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Yes kila mtu anakuwa na mahaba yake na mtu anayempenda hasa kwenye hizi siasa,bila kujali hizi siasa......ila naona harufu ya kukosea,angetoa kisingizio kingine tu
 
Na mahakama ikakubari kabisa??na bado inaendelea kukubari kabisa??halafu tunaambia ni presidential material ilhali anadharau mahakama kwa kuidanganya!!napita tu
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Wana CCM ondoeni hofu.
Mafanikio ya awamu ya tano yanajiuza yenyewe. Flyover, ndege mpya, umeme vijiji vyote nchi nzima, Umeme wa Bwawa la Nyerere, SGR ya umeme, Zahanati nchi nzima, elimu bure mpaka sekondari, mikopo elimu ya juu iliyoboreshwa, barabara za lami zinazounganisha nchi nzima, nidhamu katika ofisi za serikali, na kadhalika, na kadhalika.
Tatizo lililobaki ni woga usio na msingi.
Fear is the only remaining enemy.
Kuhusu hili la kujiamini ndani ya CCM ni tatizo.
Mwacheni Tundu Lissu tukutane kwenye majukwaa tushindane naye kwa hoja.
Acheni kumpaisha kwa kung'ang'ania afungwe jela kana kwamba Ukaburu umehamia Tanzania baada ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kupambana nao na kuutokomeza barani Afrika.
Hiki ni kipindi cha uchaguzi. Tushikamane.
Mahakama, Jeshi la Polisi na Magereza hawawezi kutufanyia kazi ya kushindana na Tundu Lissu, kama walivyofanya akina Kaburu Vorster wa Afrika ya Kusini.
Matokeo yake tuliyaona na Nelson Mandela akatoka Jela na kuingia Ikulu.
Sisi ni nchi ya Demokrasia.
Tujitayarishe kwa hoja.
Yote aliyoyapigania Tundu Lissu, JPM ameyatekeleza kwa ufanisi wa hali ya juu, kwa kuanzia na mikataba mibovu ya madini, na mchango wa Madini umeongezeka sana.
Tuache woga.
Tumkaribishe Tundu Lissu kwenye majukwaa tushindane naye kwa hoja.
 
Mataga wa kiume wanashindwa kuvaa boksa na wa kike wanashindwa kuvaa brazia kutokana na ujio wa Lissu.
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Safari hii Lissu atapasua Ile pacemaker, siyo kwa mahangaiko haya.
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Ni sheria hiyo hiyo iliwasweka ndani akina Rugemarila na Seth kwa kashfa ya "Escrow" lakini haikuwaona akina Ngeleja, Muhongo, Tibaijuka na wengine wengi waliokuwa kwenye nafasi za kisiasa!

Nadhani sheria inawaonea aibu sana wanasiasa, tazama akina Lugola Kangi wanavyokula maisha baada ya kupiga zaidi ya 1trillion, na wengine wamerudishwa kundini wakiendelea kuimega keki ya taifa

Inategemea tu mkubwa atakavyoamka...
 
Kitakachotokea Ni kufutwa kwa dhamana
Kwa mbowe ilikua hivi,alidanganya anaumwa yupo Afrika kusini,kesho yake akaonekana kwenye vikao vyake,bada ya siku 14 mahakama ilipoitwa akafutiwa dhamana kwa kuidanganya mahakama
Yaani CCM mnahangaika kama gari bovu, sheria ya karantini inafahamika na kama Lissu kaivunja basi kavunja sheria ya karantini ambayo iko chini ya masuala ya afya na sio ya dhamana kwa kesi yake iliyoko mahakamani.
Mnateseka sana na Rais ajaye, mwarobaini mchungu lakini dawa
 
HALA
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
HALAFU UKISHAJUWA ITAKUSAIDIA NINI?
 
Ana buy time ila segerea ipo pale pale,muda tu ndio kila kitu.

Hiyo ndio njia pekee ya kumbeba mgombea wa ccm asiyeweza ushindani, bali anayetegemea siasa za mbeleko na mabavu.
 
Muache ajikute mjanja, siku akibebwa kwenye jukwaa la kampeni na kusundwa nyavuni ndo akili itakaa sawa
Mbebeni tu kwani itakua mara yakwanza kumbeba,mtu mlipiga risasi 16 nabado karudi, atahofia jela kweli CCM akili zenu katika siasa kabakinazo JK
.
 
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.

Je, sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Kwani karantini lazima iwe siku 14?? Akikaa siku 2 karantini aangalie situation je kwani haikubaliki? Wewe ni daktari wake?
 
Huyu ni wa kumwonea huruma tu, mahakamani atawaonyesha makovu ya risasi mpaka hakimu atamwonea huruma.
Na bado anatembea na risasi nyingine kiunoni !!
Pamoja na USALITI wake wamwache tu hana mwendo mrefu, muda si mrefu atakuwa mwenyekiti/rais wa CHAWATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhu! Mwenyezi Mungu anaona tuliyonayo mioyoni mwetu na hutujalia kulingana na tulivyofungua mioyo yetu na hutunyima kwa kadiri ileile tuliyofunga mioyo yetu.
 
Hatafungwa mtu hapa....

Mahakama ni nyumbani kwa Lissu. Kila afanyalo anakuwa ameshapima pros & cons...

Wanaweza kumlaza ndani siku mbili au tatu. But I am pretty sure that, it's not this time lakini...

Hiyo "CAMP" ya takribani miaka 3 Kenya & Ubelgiji siyo ya bure....

Ina impact yake kubwa sana na very positive kwa Lissu mwenyewe, CHADEMA na Watanzania kwa ujumla....

Ina impact yake kubwa sana na very negative kwa CCM na Magufuli. They have to get prepared for anything....

Nawashauri CCM na Magufuli waende na mbili kichwani. Kwamba, they CAN and at the same time that, they CAN'T...

I clearly see bright light out of the darkness 1,000 miles ahead....
 
Huu nao ni ujuha tu! Hivi mahakama haikuona au haijui TL aliporudi alipokewa na mamia ya watanzania? Hivi mahakama haijui hata wageni/watalii wakija hawakai karantini? Sasa kwanini wamkubalie TL wakati wanajua hakuna sheria hivi sasa ya kukaa 14 days karantini!
 
Back
Top Bottom