Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Siku dhamana ikifutwa akawekwa kupango mtakuja na ngonjera za kuwa anaonewa sijui hakuna uhuruHuyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Siku dhamana ikifutwa akawekwa kupango mtakuja na ngonjera za kuwa anaonewa sijui hakuna uhuru
Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Kamanda mwenzangu, tukubali tu Makamu Mwenyekit amecheza rough kama ilivyo kawaida ya maccmHuyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Ninyi ndiyo mnawadanganya graduates wanamaliza vyuo hawajui kuandika kwa ufasaha..!Mkuu, kukosea ni kawaida!
Mjinga yule...wakati anafanya maandamano hakukumbuka Corona, kuitwa mahakamani ndo kukumbuka Corona na kujiweka karantiniatavuna alichopanda
Lissu kawaweka njia panda!! Inakuwa vigumu kwenu kumtetea wakati ninyi ni ' akili kubwa' kwa mujibu wa Peter Msigwa (Mch.)Itamhazibu ndiyo mdudu gani? 😳😳
Mkuu muache jamaa afanye yake. Kichwa chake hakijui kua smart. Bado hajui kuandika. Na najua hajui kama hajui.Mbona wewe umeandika mistari 12 bila nukta wala koma na hatujakufuatilia?? Na hicho kichwa cha habari umerudia kusoma kabla upost lakini???
Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Itamhazibu - Itamuadhibu..!
Kuaihirishwa=Kuahirishwa....Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,