Lissu kawaweka njia panda!! Inakuwa vigumu kwenu kumtetea wakati ninyi ni ' akili kubwa' kwa mujibu wa Peter Msigwa (Mch.)
Ninyi ndiyo mnawadanganya graduates wanamaliza vyuo hawajui kuandika kwa ufasaha..!
Kawaida??? Kukosea kupi unazungumzia hapa mkuu..!?
Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Ila yule tapeli ndo mpenzi wa Mungu ?Hakuna mpakwa mafuta wa mungu ambaye ni muongo.
Heshim upako wa mungu wewe.
Hahhahaaa raha sanaMbona wewe umeandika mistari 12 bila nukta wala koma na hatujakufuatilia?? Na hicho kichwa cha habari umerudia kusoma kabla upost lakini???
Kuhahirishwa - Kuaihirishwa,
Itamhazibu - Itamuadhibu..!
Mbona unahemkwa kijana jibu hoja acha paparapupaHuyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Huyu ni wa kumwonea huruma tu, mahakamani atawaonyesha makovu ya risasi mpaka hakimu atamwonea huruma.
Na bado anatembea na risasi nyingine kiunoni !!
Pamoja na USALITI wake wamwache tu hana mwendo mrefu, muda si mrefu atakuwa mwenyekiti/rais wa CHAWATA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
" Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo mahakamani".Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Ingekuwa busara kujibu Swali la mtoa uzi, kuliko kuweka makasiriko mbeleHivi Ni kwamba unakimbizwa au umevimbiwa ? Mbona unaandika Kama umeshikwa kende na baamedi?
Lissu atawapa madonda ya tumbo !