mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Nyie wanalumumba, Lissu anajua sheria kuliko wanasheria wenu wa huko Lumumba. Eti unauliza ametumia sheria gani kutohudhuria. Kama ulikuwa unasubiri awekwe ndani au apate msukosuko basi hilo halikutokea. Pole sana. Sababu zake za kutofika zilikubaliwa upesi tu na wakili wa serikali.Atavuna alichopanda
Aiseee ukweli mtupu umepigilia msumali wa nchi sita.Hakuna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yaliyo chini ya Makada wa ccm wanaotumika kulinda maslahi ya ccm fullstop.
Wewe unaesema Lissu mpakwa mafuta, siku Mahakama ikiamuadhibu utakua wa kwanza kuja kujambajamba hapa jukwaani. Ooh mahakama hazitendi haki, anaonewa n.kHuyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Peleka taarifa kwa hakimu tuone atafanya niniKama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Kitakachotokea Ni kufutwa kwa dhamanaKama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Upuuzi mtupuKama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Mwambieni Jpm amwambie jaji Mkuu amfutie dhamana, raha ya jpm Ni kuweka watu ndaniKitakachotokea Ni kufutwa kwa dhamana
Kwa mbowe ilikua hivi,alidanganya anaumwa yupo Afrika kusini,kesho yake akaonekana kwenye vikao vyake,bada ya siku 14 mahakama ilipoitwa akafutiwa dhamana kwa kuidanganya mahakama
Alaf mahakama kuu ikawaje baadaa kufutiwa. nyie mna matatizoKitakachotokea Ni kufutwa kwa dhamana
Kwa mbowe ilikua hivi,alidanganya anaumwa yupo Afrika kusini,kesho yake akaonekana kwenye vikao vyake,bada ya siku 14 mahakama ilipoitwa akafutiwa dhamana kwa kuidanganya mahakama
Alikaa jela miezi au umesahauAla
Alaf mahakama kuu ikawaje baadaa kufutiwa.nyie vibwengu mna matatizo
Maandamano toka airport, niliona yeye alikuwa kwenye gari. Kwani mtu akitoka nje kuja Tanzania ambako corona imeisha, anayekuwa kwenye hatari ya kuambukizwa ni yupi? Ambaye yupo kwenye nchi ambayo haina corona au anayetoka kwenye nchi yenye corona?Mahakama na upande wa washitaki wakishindwa nitawashusha sana, huyo mtu ni mpuuzi angelikuwa anajali afya sana angeliingia nchini kimya kimya na asingelishiriki yale maandamano kutoka airport....wakati anafanya zile mbwembwe hakuogopa corona?!?