Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Yes kila mtu anakuwa na mahaba yake na mtu anayempenda hasa kwenye hizi siasa,bila kujali hizi siasa......ila naona harufu ya kukosea,angetoa kisingizio kingine tuHuyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
Wana CCM ondoeni hofu.Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Safari hii Lissu atapasua Ile pacemaker, siyo kwa mahangaiko haya.Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Ni sheria hiyo hiyo iliwasweka ndani akina Rugemarila na Seth kwa kashfa ya "Escrow" lakini haikuwaona akina Ngeleja, Muhongo, Tibaijuka na wengine wengi waliokuwa kwenye nafasi za kisiasa!Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Yaani CCM mnahangaika kama gari bovu, sheria ya karantini inafahamika na kama Lissu kaivunja basi kavunja sheria ya karantini ambayo iko chini ya masuala ya afya na sio ya dhamana kwa kesi yake iliyoko mahakamani.Kitakachotokea Ni kufutwa kwa dhamana
Kwa mbowe ilikua hivi,alidanganya anaumwa yupo Afrika kusini,kesho yake akaonekana kwenye vikao vyake,bada ya siku 14 mahakama ilipoitwa akafutiwa dhamana kwa kuidanganya mahakama
HALAFU UKISHAJUWA ITAKUSAIDIA NINI?Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Sasa je sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Ana buy time ila segerea ipo pale pale,muda tu ndio kila kitu.
Yupo kama mendeItamhazibu ndiyo mdudu gani? 😳😳
Mbebeni tu kwani itakua mara yakwanza kumbeba,mtu mlipiga risasi 16 nabado karudi, atahofia jela kweli CCM akili zenu katika siasa kabakinazo JKMuache ajikute mjanja, siku akibebwa kwenye jukwaa la kampeni na kusundwa nyavuni ndo akili itakaa sawa
We unajuaje kama lengo halikua hilo hilo la arudi?Mbebeni tu kwani itakua mara yakwanza kumbeba,mtu mlipiga risasi 16 nabado karudi, atahofia jela kweli CCM akili zenu katika siasa kabakinazo JK
.
Kwani karantini lazima iwe siku 14?? Akikaa siku 2 karantini aangalie situation je kwani haikubaliki? Wewe ni daktari wake?Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Je, sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Baada ya kumuahid ujaji aliyewafunga ndugu Mashauri....Alikaa jela miezi au umesahau
Mhu! Mwenyezi Mungu anaona tuliyonayo mioyoni mwetu na hutujalia kulingana na tulivyofungua mioyo yetu na hutunyima kwa kadiri ileile tuliyofunga mioyo yetu.Huyu ni wa kumwonea huruma tu, mahakamani atawaonyesha makovu ya risasi mpaka hakimu atamwonea huruma.
Na bado anatembea na risasi nyingine kiunoni !!
Pamoja na USALITI wake wamwache tu hana mwendo mrefu, muda si mrefu atakuwa mwenyekiti/rais wa CHAWATA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia mungu au Mungu?Hakuna mpakwa mafuta wa mungu ambaye ni muongo.
Heshim upako wa mungu wewe.