Siku dhamana ikifutwa akawekwa kupango mtakuja na ngonjera za kuwa anaonewa sijui hakuna uhuru
Labda amepima tena na vipimo vya mapapai vikaonyesha hana Corona na Raisi Magufuli ameweza kumshawishi kwamba Tanzania hakuna Corona akaamua kuacha karantiniKama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Je, sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Huyu jamaa atawaua kwa pressure mwaka huu. Mbona anawapelekesha hivi?? Hamlali hampumui mnamuwaza yeye tu. Achaneni na Lissu huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Hammuwezi
[/QUOTE
Hujui maana hata ya mpakwa mafuta... nonsense
Kifupi, Lissu ni muhalifu sugu halafu msahaulifu, wacha tuone hao mahakimu kama watakubaliana huu u.p.u.m.b.av wa mtu mmoja kuichezea mahakamaKama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo Mahakamani lakini ulitolewa utetezi kutoka kwa wanasheria wake kuwa mteja wao ndugu Lisu asingeweza kuhudhuria mahakamani kwa sababu amejiweka karantini kwa siku 14 kwa kuhofia maambukizi ya Corona kwa kuwa ametoka nje ya nchi lakini ameonekana katika vikao vya kamati kuu ya chama kabla hata zile siku za karantini kumalizika.
Je, sheria inasemaje kama ikibainika kuwa mshitakiwa ametoa taarifa ambayo si ya kweli mahakamani. Wajuzi wa sheria mtusaidie.
Hivi ni quarantine au isolation? Mimi nijuavyo quarantine na isolation ni vitu tofauti...kimoja kinahusiana na corona na kingine ni mapumziko kwa muda fulani bila kuwa watu wengi
" Kama mnakumbuka juzi Sheria ilimtaka Lisu kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi zake zilizopo mahakamani".
Katika hawamu hii ya 5 suala la sheria sio kipaumbele. Moja ya mifano ni kesi zenyewe.
Lissu ana akili kubwa kuliko wanao muwinda kwa hila zao. Kitendo cha kutomkamata wakati anaingia nchini hakikuwa bahati mbaya bali ni mipango maalum, kwa sababu hawakuwa na hoja za msingi kuweza kulitekeleza hilo kama walivyo ahidi. Wanamsubiri aingie mahakamani ili wamzuilie kwa kisingizio kwamba wadhamini walijitoa. Lissu ameshalijua hilo ndio maana ameona apate nafasi kwanza yakushiriki vikao vya chama. Na kama wakimpitisha kugombea urais, na mahakama ikakubali kutumika kumuweka kizuizini huo ndio utakuwa mwanzo wakuvurugika kwa uchaguzi mkuu.
Wakati kuanzia kesho jioni anaanza kulindwa na TISS ...hiyo ndoto nyevu sahauMm nadhani cdm waende na. Nyalandu lissu wenda akafungwa au kuweka ndani siku chache zijazo
..anayeidanganya mahakama...na ni mwanasheria nguli!
Mkuu, unajua ni kwa nini niliandika hivyo?Ninyi ndiyo mnawadanganya graduates wanamaliza vyuo hawajui kuandika kwa ufasaha..!
Kawaida??? Kukosea kupi unazungumzia hapa mkuu..!?
Sawa mkuu,Mkuu, unajua ni kwa nini niliandika hivyo?
Jamaa alimsahihisha mwenzie kwa kukosea kuandika, lakini naye akakosea wakati anamsahihisha mwenzie. Ndipo nami nikamkumbusha kuwa huko kukosea, tunakosea wote, na hasa kwa watumiaji wa smartphone. Unajua umebonyeza a kumbe imekuja s au w.