Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana Mbagala?

Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyomi.
mbagala kwa wingi wa watu unaipa shkamoo .
 
Aise
 
Aise mbona amna tv inayorusha au lafu zimeanza
 
da aiseee uzinduzi umebuma hakuna muitikio wa watu zakiem hakuna watu ni wachache sana
 
Lissu ameanza kuadhibiwa na watanzania mapema sana

Watanzania wanamgawia spana utazani hawajawahi muona
 
Yaani chadema wangekua na akili wangefungulia campaign huko Tunduma, hii aibu ni gundu kwenye campaign nzima

Zile kura 7% nilizompa, nimekuja kujua nilikua nimelewa, mnisamehe jamani
 
Hivi hakuna hata link nifuatilie online? Sioni tv hata moja ikirusha mkutano wa Lissu the iron man!
Wamefeli kabla ya kuanza, niliwaambia hapa siyo klm wakabisha.

Lisu ni tofauti na Lowassa.......yeye angefungulia kampeni zake Tarime, Iringa au Mbeya!
 
Hizo kampeni bado au mgombea kaishiwa hoja?
Nakumbuka campaign za Lowassa, watu walianza kujaza jamgwani siku 2 kabla ya siku ya campaign, watu usiku wapo viwanjani watu zaidi ya buku

Dah Lowassa alikua sumaku, huyu Lissu sijui ana mkosi gani, umma haumtaki kudadeq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…