Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Jengeni udini, ukanda, ukabila na uchama kwa bidii na juhudi zote hakika mtavuna hiki mkipandacho
Sasa watu wengine bhana wakishindwa hoja wanakimbilia udini na ukabila....kwan lisu na mwalimu ni kabila gani.?acheni uchoko wa kijingaa sikilizeni hojaa za watu...mamaye
 
Sasa watu wengine bhana wakishindwa hoja wanakimbilia udini na ukabila....kwan lisu na mwalimu ni kabila gani.?acheni uchoko wa kijingaa sikilizeni hojaa za watu...mamaye
Hao ndiyo wana lumumba maana hawana hoja tena, yaani wamesha filisika kisiasa
 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana mbagala?????? Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyom
Wanasingizia msasani hakuna viwanja vikubwa vya waz
 
Unapo sema rangi nyekundu una maanisha nini?
 
Badilisheni hiyo rangi ya tangazo. Waachieni Simba hiyo rangi. Kwanini background isiwe bendera ya Chadema? Mnapoteza wafuasi kwa mambo ya kitoto.
 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana mbagala?????? Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyom
Jumamosi tuko tanganyika packers kawe karibu sana ,kawe na msasani karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…