Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Punguza povu mbona hujamlalamikia Aliesababisha LISU kupigwa Chuma?
 
Tundu lissu ni mwiba kwa watu wasio julikana.
 
Wewe mpuuzi hebu niambie ingekuwaje kama ungekuwa wewe ndio umepigwa Chuma kama LISU ungeongea huu Upumbavu wako? tangu mwezi wa 9 Mwaka jana nani kakamatwa Jinga kabisa nyie
 
Huko kuna Maslah gani hadi Mzungu apeleke nguvu zake
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Kama huna uwezo wa kuumba mtu pia ujue huna uwezo wa kutoa uhai wa mtu mpaka Mungu aridhie
 
Mzee mizani unayotumia ni IPI? Hivi kati ya mtu anayeua watu na anayesema kuna mtu anayeua watu, yupi anadhalilisha nchi. Wacheni hizi fikra nyepesi
We kweli unadhani huyo haelewi? Jamaa yupo kazini na ananufaika na udhalimu unaondelea Tz, mpuuzi bure
 
Kwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchi
Ndio,yapo mambo wakati mwingne inabidi yafanyike kw masirahi ya nchi.
 
Uchunguzi huru ndio mambo yote hayo mengine ni kelele tu za 'walamba miguu ya mfalme'.

Hii nchi ni omba omba toka dunia iumbwe, leo ndio ijitegemee! Ikitokea hivyo basi hata vichuchu vya kuku pia vitajitegemea.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Hayo maongezi yao ni muhimu sana ila tatizo litakuja kwa sizonje, sidhani kama ataelewa kwake itakua kama movie
 
jack_son: Kwani hujui tupo chini ya koloni la Chama Cha Makinikia. Eti,unauliza kwani tupo chini ya koloni lipi? Yaani mpaka sasa hujui? Wewe hupo Tanzania nadhani. Watanzania wana chuki ya kufa mtu kwa hili zee lako. Uliona umma ulivyowaka kwa Lowassa kumsifia tu zee lako? Nadhani kwa mwitikio ule hasi zee litakuwa limepata ujumbe wa namna gani watanzania tunamwona. Hafai hata uongozi wa nyumba kumi.
 
Si kila mara nchi za Magharibi zimekuwa zikiwasiliana na serikali tu. Mfano, bila shaka umeshasikia baadhi ya serikali za nchi zinazoendelea zikilalamikia nchi za Magharibi kufadhili vikundi vya waasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…