Mauaji hayalinganishwi, Mungu kasema usiue...hajataja idadi ya watu, burger!!Hata mtoto mdogo anajua kapigwa risasi. Bila kujali nani kampiga risasi,hoja ni kwamba je,tukio hilo ama na mengine yanayotajwa linatosha kuilinganisha Tz na SA? Suala la SA ya wakati wa Pic Botha na akina Vorster ilikuwa habari nyingine bw. Mdogo. Unakumbuka mauaji ya Sharperville kaka? Kama ndivyo ndo unalinganisha na tukio la Lissu?
Hapana, nitaamuru ulofa ukurudie wewe...na hakika utakurudia.Sasa ukiitwa lofa unakasirika.
Ha ha ha, utaacha lini hizi imani za kishirikina?Hapana, nitaamuru ulofa ukurudie wewe...na hakika utakurudia.
Unajibu kwa swali? Lofa wewe.Na wewe ukiitwa taahira utakasirika?
Hapana imani kwa Yesu sio ushirikina. Unajua ushirikina?Ha ha ha, utaacha lini hizi imani za kishirikina?
Unajibu kwa swali? Lofa wewe.
Kwa hiyo?Hivi unafahamu ni Binadamu wangapi Dunia hii wamepanga foleni Ofisi za Wazungu kuwaelezea matatizo yao? Au unafikiri ishu ya Tundu Lisu ni special na ya kipekee?
Kwa hiyo mlimmiminia risasi ili muondoe nuksi? Quite incredible.Maigizo yenu yalishaajulikana toka kitambo sana kuwa mlitaka kutengeneza hii movie ili muendelee kuichafua nchi hii ktk nyanja za kimataifa, huu ni uadui kama uadui mwingine Lissu hana tofauti na gaidi au mhujumu uchumi, mmetafuta madaraka kwa nguvu mmekosa sasa mmeamua kuwatumia mabeberu lkn hamtofanikiwa, mtu wa aina hii hata akifa ni nuksi imeondoka ni laana na fitna imeondoka katka jamii yetu, lengo la Lissu na chadema ni kuona Tanzania ikigeuka Zimbabwe ya Afrika Mashariki huyu ni adui yetu na ukifanikiwa kupambana nae ni kupambana maana unapata heshma kumuondoa nduli huyu, ngoja tuone mwisho wake lkn najua sio mzuri maana havumiliki hata kidogo haswa kwa wazalendo
Mkuu wako wengi sana wamemfuata baba yao!! hata ulinzi wa baba ni wao! ninaamini vile vile wasiojulikana ni waoKwa kiswahili hiki wewe siyo mtanzania rudi kwenu Burundi mkauane huko.
Halafu wewe utaishi milele...very stupid little monkey!!Huyu jamaa niliwahi kusema dawa yake ni RISASI tu, na zamu hii hachomoi, labda aombe akae huko huko asirudi.
Risasi 38 halafu unasema Mungu kamkataa?? Mungu kamkataa yule aliyetoa amri ya kuua na ndio maana alituma malaika wake kwenye tukio ili kuzigeuza risasi ziwe maji.Mungu kamkataa Tundu Lisu na ndiyo maana kaacha aumie!
Hakuna excuse kwenye kuua mtu. Mungu anasema usiue.Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.
Huyo Banyamulenge humwambii kitu kuhusu kuuana maana ni jadi yao kuanzia tumboni. Chunguza usije kuwa umepandikizwa vimelea vyao kwenye uzao wako utajuta.Risasi 38 halafu unasema Mungu kamkataa?? Mungu kamkataa yule aliyetoa amri ya kuua na ndio maana alituma malaika wake kwenye tukio ili kuzigeukuuana za risasi ziwe maji.
TCRA wanaanzia hapa kwa huyu jamaaKama Mungu aishivyo, naomba maombi haya yakurudie kwa kipimo ulichomwombea mwenzio. Amina.
uko chini ya mkoloni Mweusi CCM.Ukombozi?kwani tuko chini ya koloni lipi ? Cheap politics
Haikusaidii kitu.Taahira wewe
Hayo mambo yako usiniletee hapa. Kaa nayo huko huko.Hapana imani kwa Yesu sio ushirikina. Unajua ushirikina?
We utakuwa wapi?Natamani tufungiwe ili tuone majigambo ya bwana mkubwa. Maana kila siku anajigamba tuna fedha ,tuna fedha .
Haikusaidii kitu.