Uchaguzi 2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

Haya Ni majungu,Leo lissu anapendwa duh.nimenusa kitu kwenye comment hii, zitto amchukie zaidi lissu kuliko hats mbowe, duh....kawadanganye huko
 
Ngoja tuone hili picha mwisho wake bt nahisi wengine wamechukua form ili watengeze cv wengi tu wanahamu na ubunge wao
Mkuu huwezi omba cheo cha urais kupitia chama chako kisha 100% uamini unapita huo utakuwa sio uchaguzi, hats magu ndani ya ccm hakujua kama atapitishwa, kumbukeni alisema alibipu tu....hii dhana ya kugombea kwa sababu nimehakikishiwa na chama Ni ujinga.
 
Huwa najiuliza. Hivi Lisu akirudi hata kufanya kampeni tu hawatamkamata?
 
Kwani ni kweli Mwamba kajaza fomu ya kutia nia ya kugombea uraisi wa JMT? Mbona hili bado haliko wazi.

 
Something is telling me, ugombea wa Tundu Lissu Chadema Could it be ni just a Pacemaker?.
Haiwezekani Lissu atangaze kugombea hala Mwenyekiti wake naye awanie!.
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
P
 
Ile movie unahusika kuitengeneza?

Mbona umekuja mbio sana kuielezea huku na kuhuisha mambo?
 
Kwahiyo makosa yaliyoko ccm yanahalalisha yanayofanyika chadema?

Humo vichwani mwenu uwa mmejaza takataka gani?
Umeshaona "nudii" za Mwenyekiti na "kisarawe"? Mwenyekiti wenu mzinzi sana, yeye ni ngono tu muda wote kichwani mwake.
 
Mgombea urais kupitia chadema jina lipo mfukoni mwa mwenyekiti anasubiriwa yule mwenye dau kubwa mwanzo walilengwa Kinana na Membe si unajua tena zile fedha za libiya
 
Hujui kitu wewe. Kaa kimya
 
Huwa na mashaka sana na wewe kama kweli unataka kuona upinzani nchi hii unaimarika.

No, I think he has a point!
Kila nikifikiria move ya mwenyekiti kuingia kwenye kinyang'anyiro hichi najiuliza maswali haya:
1. Kuonyesha kwamba CDM imekomaa kidemokrasia? Kwa kweli hili linanipa mashaka sana, kwa vile kusingekuwa na haja ya mwenyekiti kuwa miongoni mwao. Kwa hili wagombea watatu wangetosha.
2. Kwamba mwenyekiti na wengine wamekata tamaa ya kutoupata ubunge na hivo labda wameamua kutafuta jinsi ya kutokea ? Inawezekana. kama ni hili, CDM inalichukuliaje hili?
3. Kwamba mwenyekiti ana nia ya kugombea uraisi kweli kweli na kina Lissu na Nyalandu ni 'wasukumaji'? Hili pia linawezekana.
Vyovyote vile muda utatongoa! lets wait and see.
 
Hivi Tundu hajui kutafsiri hata picha ?
 
Wewe huoni kuwa badala ya sasa kumpa ushirikiano mtu anayeweza kumchallenge Magufuli wao wanaanza kujifanya wanachokua fomu na kuwachelewesha wananchi kuungana nyuma ya mtu anayeweza kumchallenge Magufuli?
Watu mnashindwa kuwasoma chadema..they are playing a game.Hawataki ccm wawe wamefocus kwa Lissu pekee.They want to confuse them kuwa watamsimamisha nani...
 
Lengo la Chama ni kuchangisha pesa ili zisaidie uchaguzi hamna lingine
 
Msigwa ndio anafanya maigizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…