Mawakili wanajitokeza kuonesha mshikamano wao.Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Unayo hoja hapa ila hujaiwasilisha vizuri. Kimaadili ya kazi Lissu kumwakilisha Fatma kwenye kesi inayotokana na kesi ambayo Fatma ni mwanasheria wa Lissu inaweza leta shida za mgongano wa kimaslahi, ushahidi, kuondoa 'privilege' ya kisheria kati ya wakili na mteja wake ambayo inaweza kuwaweka wote kwenye kapu moja.Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Wewe kaa na yule padri mzinifu ondoa ujinga hapaTLS Ndani ya siasa live
Hiyo kesi itatupiliwa mbali na Mahakama!Nimekaa chonjo nione jinsi "system" itakavyomnasua kijana wake!
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Polisi sio kazi yao kuwalazimisha watu kupanda gari pindi wakitoka mahakamani iweje wamfukuze Fatma wakati alikuwa hajamaliza kazi yake?
Mawakili wa Tanzania wamebadilika kuwa wanasiasa... so sad!
Wakamatwe bila kosa? Sheria ndio kila kituAbuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Mtu kama ni derva basi ujue mara zote utamkuta anaendesha gari tuBilioni duu,halafu tokea namjua Lissu yeye ni Kesi tu.
Ifikie mahala lazima mtambue mshikamano na uwakilishi ni vitu viwili tofauti, any way ni mitazamo tu kwani ukubwa wa pua sio wingi wa kamasiMawakili wanajitokeza kuonesha mshikamano wao.
Polisi wafanye kazi zao kwa kuelewa mipaka ya kazi zao.
Polisi si chombo cha kudhalilisha raia. Ikiwa mwanasheria, tena maarufu mwenye jina kubwa nchini na nje ya nchi, anafanyiwa hivyo jee wenzangu na mie?