Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Kazi ya kuwapa mawakili wa utetezi watu wasiokuwa na uwezo huo ni jukumu la serikali.
Sio kosa lako ni kwa sababu huna exposure hujawahi kutoka nje ya Tanganyika, pole.
Wewe hujui chochote. Kwa vile ni kazi ya serikai unadhani waziri au mwanasheria mkuu ndio anaenda kuwatetea? ua unadhani wanatetewa na mawakili au wanasheria wa serikali? Serikali inachofanya ni kuchagua mawakili miongoni mwa mawakili hawahawa, hata huyo Lissu, Karume na Kibatala na wengine wamepewa hizi kesi mara nyingi tu.
Nikukuambia kuwa hawa mawakili wako huwa wanazikacha hizi kesi utasemaje? kwa taarifa yako wanazikacha sana tu, na inafikia hadi hatua wanachukuliwa hatua za kinidhamu.
 
Na muda wanao,mawakili watafuta kiki.
Wasukuma awamu hii mmeamuwa kujitowa akili, unadhani ni kwa nini mwanamke huwa anakaguliwa na askari mwanamke WP?

Unazijuwa tarabibu za waislamu juu ya maungo ya mwanamke asiyekuwa mke wako?
 

Hivi yule kada wa CCM aka Bolleni ni tajiri?AMemwekea dhamana na bado anamtetea Mahakamani,na huyo ni mmoja kati ya wengi wanaotetewa na Lissu bila hata kulipa senti moja, acha kutafuta kicki kwa pikipiki
 
hivi ile kesi ya makabichi kule moshi mliyodai million 500+ imeishia wapi? mmelipwa? au ombi la DC kumjumuisha AG lilikubaliwa ?, mkumbukage kuleta mrejesho basi makamanda uchwara
aiseee
 
Hizo ni kesi za kisanii kujipa promo tu.Tunaoijua nia ya Tundu Lissu kwa sasa hatupi shida
 
TLS ivunjwe kuwe na bodi tu ya wanasheria
 
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Hauna tofauti na nao. Kwanini unajifanya kufikiria sana wakati kinachoendelea ni kitu cha kawaida tu ? Jambo ambalo unatakiwa kulifurahia ni kwamba shitaka limefunguliwa mahakama kuu ya Tanzania. Pamoja na mapungufu ya mihimili yetu lakini wachungunzi wa mamabo ya kisheria wanakubaliana kuwa kwa kiwango kikubwa mahakama kuu na mahakama ya rufaa ni huru kwa kiwango kikubwa ( kama 60%). Tusubiri matokeo na kila mmoja aheshimu matokeo hayo. Acha fikira kandamizi ndugu yangu.
 
Grow up child.
 
Kesi inaweza tupiliwa mbali kabla hata haijafika kizimbani kwenye cross examination ambako ndo mnapopasubiria.
 
Fatma amelia sana na umma, uchaguzi ulipofutwa Zanzibar. Huyu mwenzetu. Lissu mwenzetu.
 
Singida vijijini wanakuhitaji.....kwa huyu TUNDU alichaguliwa KUWA MBUNGE wa kushinda MAHAKAMANI na SEGEREA?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…