Hii hoja yako, kama uliwahi kusikia wehu, ndiyo huu.Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Tehe tehe tehe.mbwembwe zingine hata kuzisikia tu ni upuuzi.Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM.
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
Wengine ni wabunge hapo
Hebu tupatie ufafanuzi wa "kukamatwa kisawasawa", ina maana gani hasa?Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Mkuu nimesema tu mawazo yangu,usinichukie bure,kwani unguja hakuna kesi?mbona kina Lisu hawaendi huko?maslahi ya watawala ni kitu cha ajabu sana hiyo ni Tanganyika baba!!Ni mtazamo tu lakini..mwache atest zari.Tuliza mshono, acha kiherehere na taaluma za watu, huwezi futiwa uwakili unless kwa makosa yaliyoelezwa kwenye sheria, elimu elimu elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujawahi kuona hao jamaa wanapoenda kumkamata wasiyemtaka? Si afadhali hao mawakili 29, wao huweza kutumia hata magari 10 kwaajili ya kwenda kumkamata mtu ambaye wangeweza kumwita hata kwa simu.Hata kama aisee...ndo mawakili 29 kweli..mbona sasa inakuwa kama kukomoana....mawakili 29 kesi ya kushikwa kwa nguvu na ingetokea kabakwa...sii TLS yote ingeamia mahakamani.....tunapinga kiluchotokea lkn hawa mawakili nao isionekane wanatumia uwakili wao kwa personal gains
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma inogile hapo mbwa amemng'ata mtoto wa boss ngoja tuone[emoji31]Nimekaa chonjo nione jinsi "system" itakavyomnasua kijana wake!
Kwel hii ni abuse of proffesion sabab eneo la mahakaman ni kazin kwa wakili....na polis kwa kufanya abuse alimsukuma wakili msomi fatma mtoto wa karume kutoka nje ya mahakama na kumzuia asiongee na wasikilizaji wa kazi yake.....kwa kuendelea kuabuse alidai amepewa maelekezo kutoka juu ili fatma asiongee kazn kwake....sasa tunataka huyo polis aiambie mahakama hayo maelekezo kutoka juu ni ya nan ili tumjue huyu MAMLAKA KUTOKA JUUAbuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
wanapata uzoefu weweKwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
According to whom??Yeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM.
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
50+ ya uhuru Tz bado fukara wa kutupwa chini ya CCMHuku wananchi kwenye jimbo la Tundu Lissu wakiwa na kero za kufa mtu yeye yuko Dar akifanya mambo ya kitoto kama haya?! Ujinga na uzuzu kabisa..Yazidisha kuaminika kweli ukikosa sera na ilani matokeo yake ndiyo hayaa...
Ndio maana tunasema hawa Chadema wanafanya siasa za matukio na usanii,hata mashabiki wake uwezo wa kufikiri ni kuzungusha mikono,wanadhani kuwa na mawkili wengi nao ndio umaarufu,jamaa buure kabisaKama ni kweli, basi hao mawakili watakuwa wapumbavu wa mwisho kabisa.
Eeeehe kama wamekosa wawakamate tu hata kama utakosa na ww kakamatwe tuAbuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?