Udikteta wa magufuli umesaidia watanzania kupata free tuition ya sheria, serikali ya visasi kukomoana na kubambikiana kesi inawasaidia watanzania kujifunza Sheria kirahisi kujua vifungu vya sheria na haki zao, magufuli akiendelea na wimbi la kesi kesi mpaka kufika 2020 kila mtanzania atakuwa kajifunza sheria kupitia utitiri wa kesi zake.hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone
Hahahahha... Wamegoma wapi na lini,? Tupe mfano hata mmoja!hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone
Nani kawazuia kukamata sawasawa?Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Kuwakamata kisawasawa unamaanisha wawakamate pasipokufuata sheria,au?Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Polisi mwanaume umshike mwanamke ulishaona wapi na nchi gani?umshike mwanamke unaona ni sawa na mafunzo yao yako hivyo?Yaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
Mahakamani kwa kesi ya magufuli huwa si mahala pa haki, lakini haki hurejea kwa kesi zingine za kawaida.Mashitaka kutoka mamlaka ya chini dhidi ya utekelezaji wa maamuzi ya mamlaka za juu!
Mkuu lisu ndo fani yake hyo we uligemea umsikie akiimba mmeipenda wenyewe auBilioni duu,halafu tokea namjua Lissu yeye ni Kesi tu.
Nchi hii kila mbuzi anakula kwa urefu wa lambda yake Hata mapolisi walianza siku nyingi ku abuse profession zaoAbuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Wewe ni mgumu kuelewa mifano.Udaktari na Polisi mahakamani ni vitu viwili tofauti kwa kifupi mfano wako ni wa kijinga
Kama zile za kichocheziYeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Tunaelekea huko, lakini bado hatujafika. Angalau mhimili huu bado unajitambua!! Na kama wameipokea kesi, basi jua si ya kipumbavu. Tunahitaji elimu ya uraia.kwa kweliYeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Mahakama lazima wawe smart la sivyo watu watashikwa sana tu na hawatakuwa hatiani.Yeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
mgonjwa hutibiwa kwa hiali zake wala halazimishwi na sheria za udaktari na miiko yao ipo wazi, lakini sheria za polisi haziruhusu polisi wa kiume kumgusa mwanamke tena kumfukuza mahakamani kumlazimisha apande gari wakati alikuwa na kazi zake mahakamani,Wewe ni mgumu kuelewa mifano.
Kinachokatazwa hapo ni mtu wa JINSIA tofauti kumshika mtu wa JINSIA nyingine. Lakini itategemeana na mazingira ya tukio lenyewe.
Kwa muktadha huo ndipo utakuta daktari wa kiume au wa kike anamchoma sindano mgonjwa wa JINSIA tofauti na yeye na akawa hajavunja sheria.
SHERIA ni lazima iende na HEKIMA, AKILI na BUSARA, vinginevyo sheria hiyo inaweza kugeuka kuwa UTUMWA.
Sent using Jamii Forums mobile app