Udikteta wa magufuli umesaidia watanzania kupata free tuition ya sheria, serikali ya visasi kukomoana na kubambikiana kesi inawasaidia watanzania kujifunza Sheria kirahisi kujua vifungu vya sheria na haki zao, magufuli akiendelea na wimbi la kesi kesi mpaka kufika 2020 kila mtanzania atakuwa kajifunza sheria kupitia utitiri wa kesi zake.hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone