Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone
Udikteta wa magufuli umesaidia watanzania kupata free tuition ya sheria, serikali ya visasi kukomoana na kubambikiana kesi inawasaidia watanzania kujifunza Sheria kirahisi kujua vifungu vya sheria na haki zao, magufuli akiendelea na wimbi la kesi kesi mpaka kufika 2020 kila mtanzania atakuwa kajifunza sheria kupitia utitiri wa kesi zake.
 
hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone
Hahahahha... Wamegoma wapi na lini,? Tupe mfano hata mmoja!

Huko ni kufurahisha genge hamna kesi hapo.

......
 
Mashitaka kutoka mamlaka ya chini dhidi ya utekelezaji wa maamuzi ya mamlaka za juu!
 
Yaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
Polisi mwanaume umshike mwanamke ulishaona wapi na nchi gani?umshike mwanamke unaona ni sawa na mafunzo yao yako hivyo?
 
Kuweni siriasi, nchi ina matatizo mengi sana ya kuyafanyia kazi, yaani kushikwa bega na polisi unafungua kesi na kutetewa na mawakili 29 na unategemea huyo polisi atakulipa hiyo 1 b.

Lissu aachane na kesi ya aina hii anatakiwa afanye mambo kama Kafulila ili taifa limkumbuke daima.
 
Mashitaka kutoka mamlaka ya chini dhidi ya utekelezaji wa maamuzi ya mamlaka za juu!
Mahakamani kwa kesi ya magufuli huwa si mahala pa haki, lakini haki hurejea kwa kesi zingine za kawaida.
 
Udaktari na Polisi mahakamani ni vitu viwili tofauti kwa kifupi mfano wako ni wa kijinga
Wewe ni mgumu kuelewa mifano.
Kinachokatazwa hapo ni mtu wa JINSIA tofauti kumshika mtu wa JINSIA nyingine. Lakini itategemeana na mazingira ya tukio lenyewe.
Kwa muktadha huo ndipo utakuta daktari wa kiume au wa kike anamchoma sindano mgonjwa wa JINSIA tofauti na yeye na akawa hajavunja sheria.
SHERIA ni lazima iende na HEKIMA, AKILI na BUSARA, vinginevyo sheria hiyo inaweza kugeuka kuwa UTUMWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Tunaelekea huko, lakini bado hatujafika. Angalau mhimili huu bado unajitambua!! Na kama wameipokea kesi, basi jua si ya kipumbavu. Tunahitaji elimu ya uraia.kwa kweli
 
Wewe ni mgumu kuelewa mifano.
Kinachokatazwa hapo ni mtu wa JINSIA tofauti kumshika mtu wa JINSIA nyingine. Lakini itategemeana na mazingira ya tukio lenyewe.
Kwa muktadha huo ndipo utakuta daktari wa kiume au wa kike anamchoma sindano mgonjwa wa JINSIA tofauti na yeye na akawa hajavunja sheria.
SHERIA ni lazima iende na HEKIMA, AKILI na BUSARA, vinginevyo sheria hiyo inaweza kugeuka kuwa UTUMWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
mgonjwa hutibiwa kwa hiali zake wala halazimishwi na sheria za udaktari na miiko yao ipo wazi, lakini sheria za polisi haziruhusu polisi wa kiume kumgusa mwanamke tena kumfukuza mahakamani kumlazimisha apande gari wakati alikuwa na kazi zake mahakamani,
 
Imagine ww ni polisi halafu huoni mwelekeo wa ofisi kukunasua yaani hata uone mtu wa chadema kashika bango utakausha milele..
 
Zile kelele za Polisi wengi kutumika wakati wa kuwakamata kwenu ni matumizi ya nguvu pasipo ulazima, sasa huu utititri wa mawakili vp?

Na bado mnategemea mahakama hizihizi mnazotolea povu kila siku kuwa zinaingiliwa ndo ziwapatie haki!
 
Uzuri mahakama zipo huru kufafanua na kusimamia sheria, tuvute subra
 
Back
Top Bottom