Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

Lissu hana aura ya Urais - hata uenyekiti - He is good at staying at the corner na kufanya mashambulizi - ndicho kipaji chake, au alivyokuwa bungeni pale

Huku kwingine kwenye kuhitaji hekima zaidi na utulivu huku ukijipiga speed governor mwenyewe hawezi - ataharibu.

Huyu ni kiungo mshambuliaji lkn sio captain. Na nyinyi watu weusi - mjifunze kila mtu ana kipawa chake - Lisu ni mwanaharakati - asaidie taifa kwenye harakati zake.
 
Lisu kaumbwa hivyo, wa kulaumiwa ni Mungu. Kwa Lisu nyeupe ni nyeupe.
Hakuna cha kuumbwa, ni kukosa busara. Lisu is good, extraordinary good in almost all walks of life, lakini hana busara na hekima!

Mfano mwingine unasema kwenye uchaguzi ujao ametangaza "confrontation" na Samia/serikali with regard to electoral misdeeds wanazofanya CCM. Ukitaja hivyo unamandaa Samia na nyenzo zake zote kukukabiri. Nyamaza fanya confrontation bila kum alert Samia!
 
Lisuu hana aura ya Urais - hata uenyekiti - He is good at staying at the corner na kufanya mashambulizi - ndicho kipaji chake, au alivyokuwa bungeni pale...
Exactly, yuko vizuri kenye aspects ulizozitaja. Mimi nampenda sana lakini hana Hekima na busara!
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?
Anatumia WhatsApp!
 
Nimeshangaa, huyu jamaa ni nanga kweli. Hata lissu asingesema hayo bado laziima watakua wanafuatilia calls zake siku zote. Na sio lissu tu hiyo ni kwa watu wengi ambao wanahisiwa kuwa ni threat
Amesema qnatumia whatsapp call au signal sio voice call labda anajua hizo hawawezi kumdukua.
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!

..Lissu ni victim tu.

..tuwalaumu wanaopanga UOVU.

..tusilaumu wanaowindwa na waovu.

..hilo ndilo kosa letu Watanzania. Tunalaumu victims.
 
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!

Kwanini hana kaba ya ulimi?

PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Kwenye taaluma za usalama wanaitwa "A well-placed source"

Mkuu, but all in all, a good double agent, makes the first line of defense.

LISSU might have obtained that clue from a source far different from the one he blew off.

Labda amekusudia kuwapoteza maboya detectives.
 
Acha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.

..mimi kinachonikera ni kumlaumu Lissu, badala ya kulaumu wanaopanga utekaji na mauaji.

..binafsi sijali ni namna gani hawa victims watatoa taarifa za kujihami dhidi ya watu wanaotaka kuwatoa uhai.
 
Simu inategemea mkuu anaweza kutumia telegram, Whatsapp call au hata signal nimezitaja chache ambazo zina end to end encryption
 
Wewe jamaa unafikiri Lissu mjinga. Hapo kawapoteza ile mbaya kwa kusema mzee na anafikiwa kwa ndege.

Muhimu ujumbe umefika. Wanataka kumdhuru.

Mbona aliyemuambia Magufuli kafa mpaka leo hamumjui? Asingelikuwa msiri kungemjua
 
Kwa unavyofikiri wewe kuna whistle blower mwenye akili timamu atoe hizo taarifa kupitia namba za simu za 0756348....?
MBAYA WAKO MWENYE NYENZO ATAKUFUATILIA TU> TISS wana wataalamu wao.....anasema ana simu tatu...watakuletea valangati nyumbani wazichukue waZidukUe halafu wanakurudishia kiroho safi... au unasemaje
ALL IN ALL KWANINI USEME HAYO YOTE? WHY NOT KEEP QUIET??
 
Back
Top Bottom