Hakuna cha kuumbwa, ni kukosa busara. Lisu is good, extraordinary good in almost all walks of life, lakini hana busara na hekima!Lisu kaumbwa hivyo, wa kulaumiwa ni Mungu. Kwa Lisu nyeupe ni nyeupe.
Ni tatizo kubwa sana.Sisi watanzania ni rahisi sana kuwa manupulated kwa sababu huwa hatupendi kutafakari mambo kwa kina. Nadhani elimu na makuzi ndiyo yamesababisha.
Hii kukosa busara ndiyo maumbile yenyeweHakuna cha kuumbwa ni kukosa busara.
Exactly, yuko vizuri kenye aspects ulizozitaja. Mimi nampenda sana lakini hana Hekima na busara!Lisuu hana aura ya Urais - hata uenyekiti - He is good at staying at the corner na kufanya mashambulizi - ndicho kipaji chake, au alivyokuwa bungeni pale...
Anatumia WhatsApp!Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
evidence......maridhiano ya kipewa pesa
WhatsApp hazidukuliwi?Anatumia WhatsApp!
Amesema qnatumia whatsapp call au signal sio voice call labda anajua hizo hawawezi kumdukua.Nimeshangaa, huyu jamaa ni nanga kweli. Hata lissu asingesema hayo bado laziima watakua wanafuatilia calls zake siku zote. Na sio lissu tu hiyo ni kwa watu wengi ambao wanahisiwa kuwa ni threat
Tanzania hamna siri wewe kama unatafuta evedance endelea kusaka hizo evidence, mpak leo wewe uamini kwamba covid 19 hawabebwi na CCM kwasbabu huna evidance loh!!!evidence......
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe
- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Kwenye taaluma za usalama wanaitwa "A well-placed source"Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha!
Kwanini hana kaba ya ulimi?
PIA SOMA
- Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe
- Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
Lissu kasema anatumia WhatsApp Only, na kama tujuavyo ni End to end Encrypted
Acha unanga wako wewe. Unadhani Lissu ni mjinga kutojua haya? Hii habari imetolewa kimkakati na nanga kama wewe siyo rahisi kuelewa.
FactKwa unavyofikiri wewe kuna whistle blower mwenye akili timamu atoe hizo taarifa kupitia namba za simu za 0756348....?
hakuna kisichoweza kudukuliwa, Kudukua ni uhalifu ambao huwezi kujua mhalifu anatumia technology/program gani aliyoigundua yeye!Amesema qnatumia whatsapp call au signal sio voice call labda anajua hizo hawawezi kumdukua.
MBAYA WAKO MWENYE NYENZO ATAKUFUATILIA TU> TISS wana wataalamu wao.....anasema ana simu tatu...watakuletea valangati nyumbani wazichukue waZidukUe halafu wanakurudishia kiroho safi... au unasemajeKwa unavyofikiri wewe kuna whistle blower mwenye akili timamu atoe hizo taarifa kupitia namba za simu za 0756348....?