Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

πŸŒ€οΈπŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ™
 
Wewe jamaa unafikiri Lissu mjinga. Hapo kawapoteza ile mbaya kwa kusema mzee na anafikiwa kwa ndege.

Muhimu ujumbe umefika. Wanataka kumdhuru.

Mbona aliyemuambia Magufuli kafa mpaka leo hamumjui? Asingelikuwa msiri kungemjua
πŸŒ€οΈπŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ™
 

Kwa hiyo hakuna njia nyingine ya mawasiliano tofauti na simu?
 
Mbona alisema kua alimuiluza huyo MTU kama anaweza kuliweka wazi na huyo mtu akampa go-ahead?ulielewa hii sentence?
go sahead does not make him safe from watu wasiojulikana to trace who was that mtu mkubwa!
 
KwNiKwani meshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Kwani kuna shida kama mtoa taarifa mwenyewe karuhuhusu aropoke?
 
Uwe unasikiliza kwa umakini, lisu alisema alimuuliza aliyempa taarifa je anaweza kuzisema hadharani akajibu ndio
 
Hivi hao nyang'au kwa nini wanamfuatilia sana Lissu?
 
Kumbe na wewe bure kabisa, yaani kama hujaelewa kwa nini Lissu ameamua kwenda public kueleza kila kinachopangwa na dola dhidi yake ndiyo maana umeishia kuwa chawa wa Mbowe tu. Unafikiri baada ya kueleza wazi jambo hilo wataendelea na mpango wao huo muovu? Hiyo ni mbinu mojawapo ya kujihami. Hivi unafikiri Lissu hajui kuwa simu zake zinafuatiliwa 24/7?
 
KwNiKwani meshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.

Kwani kuna shida kama mtoa taarifa mwenyewe karuhuhusu aropoke?
hajaruhusu amtaje jina, amesema atoe taarifa, definitely on condition concealing his identity....ukisema nimewasiliana na una simu tatu....watazidukua na watamjua ni nani... what follows...watamkolimba!
 
Kumbe na wewe bure kabisa
Matusi hayo siyataki. Jibu hoja. Nitakutukana/nitakujibu accordingly!
Pili ni matusi kumuita mtu chawa! To me ni matusi. Nitakujibu shortly, usikasirike maana umekuja na matusi nitakujibu kwa matusi
 
Matusi hayo siyataki. Jibu hoja. Nitakutukana/nitakujibu accordingly!
Pili ni matusi kumuita mtu chawa! To me ni matusi. Nitakujibu shortly, usikasirike maana umekuja na matusi nitakujibu kwa matusi
Sasa nini sijakuelewesha? Wewe kumuita Lissu mropokaji siyo tusi? Mumeshikwa pabaya na bado. Wewe unajiona unq haki ya kuwasema watu kwa lugha ya kuudhi na uchekewe tu.
 
hajaruhusu amtaje jina, amesema atoe taarifa, definitely on condition concealing his identity....ukisema nimewasiliana na una simu tatu....watazidukua na watamjua ni nani... what follows...watamkolimba!
Hizo simu zake zote wanazidukua na yeye anajua hivyo. Mtapiga mayowe sana safari hii.
 
Usihofu,M/Wanyetishaji hawako nyuma ya wakati hivyo na sidhani kama Lisu ni mchanga wa kuamini W/Mpiga simu.
 
Wewe kumuita Lissu mropokaji siyo tusi?
wewe ni Lisu? MUACHE AJE AJITETEE

For your information imi sina ninayemshabikia hata kidogo. All are my favorites IN TERMS OF KUPIGANIA DEMOKRASIA, ila nasema mazingira ya Lisu kuingiza mnyukano wakati kuna adui wenu CCM anafuatilia kuona mtadonDOKA LINI ndiyo my concern
Msikilize Ngurumo: Usiharibu mahali ambapo panakutunza! Lisu anaharibu...sikiliza if kweli you are chief Priest

View: https://www.youtube.com/watch?v=NU3b3IYQjhk
Msikilize tena na busara hii pia if you are interested!


View: https://www.youtube.com/watch?v=OGvKBH7iz1I
 
Sure,lkn huwezi jua why lisu azungumze vile...yeye atakua anajua anachofanya kuliko sisi anaotaka tusikie ile taarifa..anaweza kua amepoteza maboya kwa namna alivoiwasilisha.
 
Umemsikia mwenako Mbowe alivyotoa hotuba fupi ya hekima na busara ya hali ya juu! Healing the cropping up wounds among you wanachama na wapenzi. Wewe kila ukiongea ni shutuma//uongo kwa Mbowe na kuzidi kukipasua chama!

Umenivunja moyo kabisa.. You were one of my favorite politicians, the admired one, until recently after your hopeless press
 
Lissu anaendeshwa na mihemuko kuliko busara mchagueni CHADEMA iwe NCCR ,na CUF nyingine,maiti.
 
Tatizo Mh Tundu Lissu huwa ananyooka, hanaga kumung'unya maneno!!
 
Leo unachukia siasa za shutuma kila kitu sababu zinahusu upande wako?
Lissu yupo hivyo na hizo ndizo siasa zake.
Siasa za upinzani ni shutuma.
Wakati anatuhumu mambo mbalimbali dhidi ya raisi Samia na watangulizi wake ulimpenda. Sasa anawatuhumu watu ndani ya Chama mpende pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…