Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

Mnahangaika bure!

Mnaacha kudai pesa zenu za join the chain mpo huku kumnanga Lissu.

Lissu ana mapungufu kama mwanadamu lakini ana ujasiri Mkuu!

Ni yeye tu amebaki kurudisha tabasamu Kwa watz.

Hanunuliki kwa pesa za Abdulii
 
Wewe ndiye ulikuwa ukimshauri Lissu asirudi nchini Eti kisa USALAMA wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…