minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Babu wa vitukuu wasira atajuuta kuwabeep chademaAiseeee wamejichanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu wa vitukuu wasira atajuuta kuwabeep chademaAiseeee wamejichanganya
hujajibu hoja.... anakwenda Ikilu kufanya nini? yeye anaamini kwenye ubabe...afanye ubabe sasa, he is the chairmanPole sana mkuu demokrasia imefanya kazi
Huyu kikongwe usikute ana miaka 110 achunguzwe vizuri, mara nyingi watu wanywa Gongo na wanashiba huishi miaka mimgi kwani Gongo hutibu magonjwa hatarishi yote cha muhimu usingatie lishe ya kutosha
Nape, makamba vijana walitia nia lakini Babu wasira akawapiga mishale Asilia wakajiengua mapemaMzee Wasira kwa umri wake uliosalia ajiepushe Sana kujibizana na Mh. Lisu vinginevyo atadhalilika Sana au awe anashinda Tu pale JKCI.
CCM mtu waliyemtegemea awe Mwenyekiti CHADEMA siye aliyepo. Na hiyo ndio disappointment kubwa walitoipata CCM, wangejua ni Lisu wasingemuweka mtu soft kama Wasira hapo kwenye Umakamu Mwenyekiti.
Sasa Sijui hapo ni Sa100 au Nani watakayesaidiana naye kumjibu Mh. Lisu
Lisu hana wala hajawahi kuwa na staha kwa viongozi na Serikali babaifu ya CCM
Hata hao kwa Lisu bado ni wadogo Sana. Lisu ni habari nyingine mkuuNape, makamba vijana walitia nia lakini Babu wasira akawapiga mishale Asilia wakajiengua mapema
Na chama ndiyo kinauunda serekali, kwa hiyo Mzee Wasira nae ni serekali!!..Mzee Wassira ni mtu wa chama, yeye naye anapaswa kuzungumza na serikali.
Hana ubabe mmoja. Nilikua namuoverrate sana, ila alini disappoint alipoufyata kuendelea na kampeni za uchaguzi wa Rais 2020 baada ya kufungiwa kwa dhulma na Tume ya Uchaguzi kwa muda wa wiki 2 enzi za mwamba STONE.hujajibu hoja.... anakwenda Ikilu kufanya nini? yeye anaamini kwenye ubabe...afanye ubabe sasa, he is the chairman
Huyu mzee wamuweke karibu na Prof Janabi mapema😂Mzee Wasira kwa umri wake uliosalia ajiepushe Sana kujibizana na Mh. Lisu vinginevyo atadhalilika Sana au awe anashinda Tu pale JKCI.
CCM mtu waliyemtegemea awe Mwenyekiti CHADEMA siye aliyepo. Na hiyo ndio disappointment kubwa waliyoipata CCM, wangejua ni Lisu wasingemuweka mtu soft kama Wasira hapo kwenye Umakamu Mwenyekiti.
Sasa Sijui hapo ni Sa100 au Nani watakayesaidiana naye kumjibu Mh. Lisu
Lisu hana wala hajawahi kuwa na staha kwa viongozi na Serikali babaifu ya CCM
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Hahaha.....umenikumbusha sana mbaliNi yeye
Mimi pia napenda siasa zake za misimamo mikali, hakuna kupindisha ndimi.Lissi alikataa mpaka mama akamfata Brussels.
Lissi namuamini sana.