Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

Mzee Wasira kwa umri wake uliosalia ajiepushe Sana kujibizana na Mh. Lisu vinginevyo atadhalilika Sana au awe anashinda Tu pale JKCI.

CCM mtu waliyemtegemea awe Mwenyekiti CHADEMA siye aliyepo. Na hiyo ndio disappointment kubwa waliyoipata CCM, wangejua ni Lisu wasingemuweka mtu soft kama Wasira hapo kwenye Umakamu Mwenyekiti.

Sasa Sijui hapo ni Sa100 au Nani watakayesaidiana naye kumjibu Mh. Lisu

Lisu hana wala hajawahi kuwa na staha kwa viongozi na Serikali babaifu ya CCM
 
Mzee Wasira kwa umri wake uliosalia ajiepushe Sana kujibizana na Mh. Lisu vinginevyo atadhalilika Sana au awe anashinda Tu pale JKCI.

CCM mtu waliyemtegemea awe Mwenyekiti CHADEMA siye aliyepo. Na hiyo ndio disappointment kubwa walitoipata CCM, wangejua ni Lisu wasingemuweka mtu soft kama Wasira hapo kwenye Umakamu Mwenyekiti.

Sasa Sijui hapo ni Sa100 au Nani watakayesaidiana naye kumjibu Mh. Lisu

Lisu hana wala hajawahi kuwa na staha kwa viongozi na Serikali babaifu ya CCM
Nape, makamba vijana walitia nia lakini Babu wasira akawapiga mishale Asilia wakajiengua mapema
 
Babu wasira aache siasa za maji taka kwani Umri wake auhitaji kelele vinginevyo wasira atakuwa mgeni wa Dt Janab kila siku huko Muhimbili
 
hujajibu hoja.... anakwenda Ikilu kufanya nini? yeye anaamini kwenye ubabe...afanye ubabe sasa, he is the chairman
Hana ubabe mmoja. Nilikua namuoverrate sana, ila alini disappoint alipoufyata kuendelea na kampeni za uchaguzi wa Rais 2020 baada ya kufungiwa kwa dhulma na Tume ya Uchaguzi kwa muda wa wiki 2 enzi za mwamba STONE.
 
Yuko sawa sasa mzee wa TANU na cold war mwenye miaka 80 wakati katiba ile inatungwa alikuwa na miaka 32 leo hii imepita miaka 48 tangu ile katika itungwe.

Hivi mahitaji yaliyokuwepo wakati wao na wenzie wana miaka 20 -30 kama vijana ndio mahitaji ya vijana wa sasa?

Hao wazee kama Wasira ndio kizingiti cha nchi kukosa mambo kama uraia pacha,Paypal, Starlink n.k ambayo ni mambo yanayobadilika kuendana na kasi ya ulimwengu.

Mkiendelea kukumbatia hao wazee wao wanajua tuko zama za USSR na cold war ndio maana kama ambavyo hawakutaka mtu apate exposure kwa kusafiri nje ya nchi unaitwa msaliti sababu walitaka watu waendelee kuwa wajinga ili wachache watawale
 
Mzee Wasira kwa umri wake uliosalia ajiepushe Sana kujibizana na Mh. Lisu vinginevyo atadhalilika Sana au awe anashinda Tu pale JKCI.

CCM mtu waliyemtegemea awe Mwenyekiti CHADEMA siye aliyepo. Na hiyo ndio disappointment kubwa waliyoipata CCM, wangejua ni Lisu wasingemuweka mtu soft kama Wasira hapo kwenye Umakamu Mwenyekiti.

Sasa Sijui hapo ni Sa100 au Nani watakayesaidiana naye kumjibu Mh. Lisu

Lisu hana wala hajawahi kuwa na staha kwa viongozi na Serikali babaifu ya CCM
Huyu mzee wamuweke karibu na Prof Janabi mapema😂
 
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.

Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.

View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19

Lisu yuko sahihi, hiyo mikutano na watu kama kina Wassira ndio imegeuka ya kupotezea watu muda. Kuliko kuendelea kupoteza muda ni bora hata hiyo mikutano ya kitapeli isiwepo tujue moja.
 
Back
Top Bottom